Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,355
- 1,411
Kwa hisani ya ZaheraLeo wananchi mtajua hamjui. "Simba gufu moya"
Kwa hisani ya ZaheraLeo wananchi mtajua hamjui. "Simba gufu moya"
Wanasema wanakusubir Mbeya.Ama kweli mziki wa Yanga ni mnene yaani Mbeya City wanashangilia utadhania wamechukua kombe.
Hapa hujajibu kama mtu anayejua mpira.Kwa hiyo unataka kuwapangia watu namna ya kufurahi? Pengine wanashingilia baada ya mechi kuisha salama bila majeruhi., au furaha kwao uanzia wakipata point 1 na na kuendeleà.
Mtani niseme tu hiki kichambo nimekipokea. Lol 🤣🤣🤣Mnajinasib Sana Kelele Nyingi Mnatuzomea Vyakutosha Kama Vile Kombe Mlishachukua Au Kama Mshatangazwa Mabingwa
Mzungu Wenu Ndo Kapata Pakuwadanganya Kwa Porojo Zake.
Na Tayari Kwenye Vichwa Vyenu Mshajiaminisha Ubingwa Huu Wenu Na Wale Waarbu Wanahakikisha Kwa Nmna Yeyote Mshinde Ili Msianze Kularuana.
Na Mnadanganyika Na Mwenendo Huu Wa Simba Basi Lazima Mnyanyue Makwapa Yaani Mtakuja Dondoka Walah.
Ila Mtani hata ungekuwa wewe unaongoza kwa hizo points usingekuwa na kelele? 🤣🤣Mnajinasib Sana Kelele Nyingi Mnatuzomea Vyakutosha Kama Vile Kombe Mlishachukua Au Kama Mshatangazwa Mabingwa
Mzungu Wenu Ndo Kapata Pakuwadanganya Kwa Porojo Zake.
Na Tayari Kwenye Vichwa Vyenu Mshajiaminisha Ubingwa Huu Wenu Na Wale Waarbu Wanahakikisha Kwa Nmna Yeyote Mshinde Ili Msianze Kularuana.
Na Mnadanganyika Na Mwenendo Huu Wa Simba Basi Lazima Mnyanyue Makwapa Yaani Mtakuja Dondoka Walah.
Hata hatujali Mkuu
Oyaa hii movie inaitwaje....unitag plz