Yanga kutumia "Visit Tanzania" ligi za ndani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,262
103,995
20210921_11105431611.jpg

Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani.
.
Uongozi umesema kutokana na mechi hizo zinarushwa na Azam TV hivyo upo uwezekano wa kuonekana na watu wa mataifa ya nje na ikawa kivutio kwa Watalii.

Tutarajie kuwaona Yanga wakitumia jezi hizo katika mechi za Ligi Kuu, Kombe la ASFC, na Mapinduzi CUP.

My Take
Huko sio kuongeza idadi ya makorokoro kwenye jezi?
 
Si wanalipwa ? Haya mambo bila kujua behind the scenes ni vigumu kutoa comment yenye tija

By the way watalii wa ndani wanahitajika
 
Duh....! Huo Ujumbe begani ulivyo mdogo atauona nani?
Mkataba Waliosani Unasemaje?
Anyway Wacha Watumie, wajilinganishe na True African Giant from Tanzania S.S.C.
 
Duh....! Huo Ujumbe begani ulivyo mdogo atauona nani?
Mkataba Waliosani Unasemaje?
Anyway Wacha Watumie, wajilinganishe na True African Giant from Tanzania S.S.C.
Kiukweli hilo kolokolo waliloweka hakuna wa kulisoma imekula kwa m2
 
Si wanalipwa ? Haya mambo bila kujua behind the scenes ni vigumu kutoa comment yenye tija

By the way watalii wa ndani wanahitajika
Sasa mechi ya ndani unatumiaje Tena visit Tanzania wakati wewe ni utopolo?
 
Back
Top Bottom