Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,467
- 20,413
Mtazamo wako ni matako! Wapi imetoa boko kwa mfano?1. Samia Yanga.
2. Ndejembi Yanga
3. Mwigulu Yanga
4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.