kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,332
- 21,426
Miaka mingi katika historia ya klabu ya yanga kitu kinachoitwa rangi nyekundu kwao ni dhambi,sasa tumeshuhudia yanga wametumia jukwaa jekundu kupokelea ubingwa hilo wazee hawakuliona kama walivyogoma logo ya voda au furaha ya ubingwa uliwazidi nyekundu wakaona kijani aah kweli damu ndio uhai