Yanga anzisheni kampuni ya simu

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,634
7,010
Kampuni ya yangatel imetoa line mpya za 4G.Line hizo mpya zina uwezo wa kushika kuanzia jangwani ya Dar hadi jangwani ya uarabuni.
 
Dah! Uzi wako una saa sita.... Halafu hakuna hata reply moja, hata "like".

Usijinyonge bure mwaya ngoja Nikupe ka' LIKE na ka' REPLY kamoja... Licha ya kuwa umeandika pumba.
 
Dah! Uzi wako una saa sita.... Halafu hakuna hata reply moja, hata "like".

Usijinyonge bure mwaya ngoja Nikupe ka' LIKE na ka' REPLY kamoja... Licha ya kuwa umeandika pumba.

Wacha ni mfariji.hii thread ni amazing imetulia sana.
 
Back
Top Bottom