Iweje mwekezaji wa kuendesha mradi wa mwendokasi atajwe kabla ya utaratibu?

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Majuzi taarifa zilijitokeza kuhusu kupata mwendeshaji wa mradi wa mabasi ya mwendokasi na idadi ya makampuni ya nje na mawili ya ndani yaliyojitokeza kuingia kwenye mchakato... lakini siku mbili baadaye kampuni ya ENG kutoka uarabuni imetajwa kama mwekezaji mpya? Huu mchakato ulifanyika lini na hizo kampuni mbili za wazawa ni zipi?
 
Back
Top Bottom