Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
Maandamano ya YANGA hayakua kupinga kuzuiwa kujengwa kwa uwanja,jaribu kua mfuatiliaji kidogo kabla ya kukurupuka na kuandika kile unachojisikia,maandamano yalikua ya kushinikiza kupata majibu ya maombi ya YANGA toka serikalini,majibu yanaweza kua kukubaliwa ama kukataliwa,inaonekana YANGA inawanyima usingizi sana MIKIA.