Yanayozungumzwa kuhusu Tanga ni kweli?

Yanayozungumzwa kuhusu Tanga ni kweli?

FLASH HIDER

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
397
Reaction score
508
ndugu zangu,

Mengi yamesimuliwa na yanaendelea kusimuliwa kuhusu wanawake wa Tanga kuwa wanajua sana mapenzi na kwamba mtu ulicheza tu, unaweza kuacha hata familia yako. Sasa mwenzenu nimepata uhamisho kwenda Tanga na obvious sitaenda na familia yangu (Mke). Jamani kama ni kweli, niombeni ujanja wa kuishi Tanga ili nisijekuacha mke mke wangu.
 
ujanja ni kudumisha uaminifu wako kwa mke wako ,kuepuka macho juu juu a.k.a macho kumchuzi,hiyo curiosity uliyonayo kuwahusu watoto wa kitanga assume ni curiosity ya kuutafuta ukimwi kwa nguvu na kuidissapoint familia yako, kwangu nadhani huo tu ndo ujanja uliopo.Am off.:A S-key:
 
ila mkuu FLASH HIDER jiangalie sana mpaka umeamua kuanzisha hii thread inaonekana umepania sana,wacth out punguza kuwazia sana hizo theory za watu kuhus watoto wa tanga,kwani the more you think of its validity the more you wish to try and find out,washa taa nyekundu kichwani.
 
Last edited by a moderator:
ndugu zangu,

Mengi yamesimuliwa na yanaendelea kusimuliwa kuhusu wanawake wa Tanga kuwa wanajua sana mapenzi na kwamba mtu ulicheza tu, unaweza kuacha hata familia yako. Sasa mwenzenu nimepata uhamisho kwenda Tanga na obvious sitaenda na familia yangu (Mke). Jamani kama ni kweli, niombeni ujanja wa kuishi Tanga ili nisijekuacha mke mke wangu.
Aaah,..Tanga ya sasa sio ile ya zamani. Imetawaliwa na wale walokuja wakaloea,wakaiga waloyakuta wakachanganya na yao...Tanga ile haipo tena. Ila mkuu Tanga raha,..life kidogo cheap ukifananisha na Dar,...uzuri unakuja ni kwamba wanawake wa kule sio gharama saaana kuwamaintain. Tanga tamu,Tanga raha karibu Tanga.
 
Bure aghali ndugu yangu
 
Tanga kunani!? Fanya uwezalo uwe pamoja na familia yako haraka iwezekanavyo.
 
Kuwa mbali na familia kwa muda mrefu,kwa kweli ni changamoto mno,fanya fasta mfate wife.
 
ni kweli na ni kweli tu na nakiri ni kwamba ninayoongea hapa ni ukweli mtupu Mungu nisaidie.

Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Waja leo waondoka leo, haipo tena siku hizi waja leo wabaki milele, kuna jamaangu ni mwalimu alicha familia yake kama wew, alipoenda kapewa familia nyengine, maskini ya mungu familia yake ya huku hawajui wanaona jamaa maisha yanaenda kumbe moyo unavuja damu, kwhyo angalia sana
 
Thats nonsense bro!. Wala usiogope kabisa, mimi nipo huku muda mrefu tu na mke wangu yupo kwingine na maisha yanaenda kama kawaida. Kama mwenyewe ukija huku macho juu juu na ukiamua kuzinika au kungonoka itakuwa ni kitu ulichopanga wala sio kuwa singizia watoto wa watu maana huku hakuna mwanamke atakayekuja kukutongoza ila wewe ndo utajua jinsi ya kuishi.
 
Chezeya Mchagga wa Tanga weye!!!...Mmanyema kwisha kazi hahahaha LOL! Kila ukitaka kusepa kivyako vyako mahaba ya Mchagga wa Tanga yanakurudisha kwi kwi kwi kwi kwi

CC: Nani vile!? Let me think LOL!!!!! 🙂🙂

.......kaka, nami #mchaggawatanga "kaniteka akili" mpaka sasa ujue,
Huenda kuna kaukweli ee
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Chezeya Mchagga wa Tanga weye!!!...Mmanyema kwisha kazi hahahaha LOL! Kila ukitaka kusepa kivyako vyako mahaba ya Mchagga wa Tanga yanakurudisha kwi kwi kwi kwi kwi

CC: Nani vile!? Let me think LOL!!!!! 🙂🙂

.......hahahahaha!
Kimya kimya #soulmate MwanajamiiOne asiskie,
"Patachimbika" aise....😄😄😄
 
Last edited by a moderator:
LOL!...Yule akisikia harufu yako tu basi hata usingizi haupandi...Chezeya Wamanyema weye!!!! Mchagga wa Tanga hajitambui 🙂🙂

.......hahahahaha!
Kimya kimya #soulmate MwanajamiiOne asiskie,
"Patachimbika" aise....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
ndugu zangu,

Mengi yamesimuliwa na yanaendelea kusimuliwa kuhusu wanawake wa Tanga kuwa wanajua sana mapenzi na kwamba mtu ulicheza tu, unaweza kuacha hata familia yako. Sasa mwenzenu nimepata uhamisho kwenda Tanga na obvious sitaenda na familia yangu (Mke). Jamani kama ni kweli, niombeni ujanja wa kuishi Tanga ili nisijekuacha mke mke wangu.

Nina zaidi ya miaka 10, na sijawahi kupata ajali yoyote...May be kwa sababu haya mambo yenu ya kunizinika hayanihusu kwa sababu nilishastaafu kitambo....

Ila amini usiamini, kukamatika au la kutatokana na uamuzi wako...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom