Yanayojiri: vituko vya mazishi ya Bonifasi Mwangi

Yanayojiri: vituko vya mazishi ya Bonifasi Mwangi

Huyo mtoza ushuru lazima maji ataita mmma ..na atajilaum kwanini alimfuta kazi gachagua....
Gachagua atamnyoosha
 
Wakenya ndani ya msiba
WAKENYA NDIO KUFIKA KWA JAMAA NA RAFIKI WA MAREHEMU BONFACE KARIOKI MWANGI KWELI KUFIWA MWANA NI UCHUNGU SANA NDIO HIO MAMBO TUMEPATANA NAYO HUKU NI UZUNI NA FURAHA RIP
View attachment 3401744
Mshana wewe ni mkongwe sana hebu andika habari vizuri. Huyu ni yule aliyekuwa hapa bongo juzi kati au mwingine. And what happened tujue. Habari Yako shallow mno. Kama shallow millionea 😂 😂 😂
 
Yes ..gachagua ameapa kua atakua rais wa nusu term na sio term nzima ...
Gachagua ndiye anachochea ujinga huo? Anadanganya, hii mwamba Ruto lazima itoboe tu imebakiza mwaka mmoja tu! Na 2027 inachukua tena maana imeshatupa kule mlima na kuhamia Nyanza!
 
Mshana wewe ni mkongwe sana hebu andika habari vizuri. Huyu ni yule aliyekuwa hapa bongo juzi kati au mwingine. And what happened tujue. Habari Yako shallow mno. Kama shallow millionea 😂 😂 😂
Hapana sio huyo, huyo alipigwa risasi na polisi katika maandamo, alikua anawauzia wananchi barakoa, baadae akaenda kufia hospitali baada ya kupigwa risasi
 
Mshana wewe ni mkongwe sana hebu andika habari vizuri. Huyu ni yule aliyekuwa hapa bongo juzi kati au mwingine. And what happened tujue. Habari Yako shallow mno. Kama shallow millionea 😂 😂 😂
Sahihi kabisa ngoja nifanye huu weledi.. Asante pia kwa kuliona hilo na Moderator pia anaweza kusaidia🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Yes ..gachagua ameapa kua atakua rais wa nusu term na sio term nzima ...
Kupendwa utapendwa lakini kulia pia utalia
1752249711677.jpg
 
Back
Top Bottom