Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

Nilishasema kuwa kambi ya Lowassa ni LAZIMA ishinde na imekuwa hivyo. Hongera Hon. Lowassa, rais mtarajiwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa umoja wa vijana wamelazimika kurudia kupiga kura kwa nafasi ya makamu mwenyekiti kutokana na sababu ya kuwa aliyeongoza nafasi hiyo hakuzidi wagombea wengine kwa idadi ya nusu ya kura zote, hivyo kikanuni ni kuwa mgombea mmoja aliyepata kura chache kuliko wote analazimika kuenguliwa kisha wawili wa kwanza wanapigiwa kura ili kupata mshindi.

Zoezi la upigaji kura linaendelea hivi sasa.
 
inasikitisha sana kwamba kuna vijana wako bado ccm, inahuzunisha mno, anyway yawezekana bado hawajapevuka kimawazo wakikua wataelewa dunia ikoje
 
haya tuache hilo,na hili la kuendesha danguro pale bilicanas limekaaje?

ngoja tusubiri .... nasikia yule mchawi prof. Majimarefu ndiyo atapitishwa kuwa mgombea urais kwa ticket ya ccm ..... pamoja na manyaunyau sijui hii nchi itakuwaje ...
 
Mboni Mhita makamu Mwenyekiti UVCCM Lowassa oyee! Congrats kwa maafisa mipango Bashe, Sioi, Beno, Peter Serukamba Makonda chaliiii na kambi yake ya Sitta, kinyago CHA Rizone Happi chali... Azimio la Pwani kwishney Sasa Rais anatoka Kaskazini chezeya Laigwanani weye! Bado uenyekiti wa CHAMA Sasa watch ur back......... Uuuuuwiiiiiiii!
 
  • Thanks
Reactions: PPM
Kwanza sidhani kama wewe ni kijana, kwanza hakuna kijana mwenye akili timamu ambaye hana maslahi yoyote na Mafisadi anayeisapoti CCM. Inaonekana akili yako haina tifauti na sura ya shigellah
ivi ile kesi ya kupora mke wa mtu na kutelekea familia inayomkabili dr slaa imefikia wapi?
 
Sikumbuki ni lini JK alito hotuba kali, labda pale alipohutubia bunge na kuagiza walio iba fedha za EPA wazirejeshe wenyewe ama sivyo watachukuliwa hatua kali!!. Sikuwahi kumuona anatoa hotuba nzuri, kali na ya maagizo mazito km ile wakati wowote popote!
 
Mboni Mhita makamu Mwenyekiti UVCCM Lowassa oyee! Congrats kwa maafisa mipango Bashe, Sioi, Beno, Peter Serukamba Makonda chaliiii na kambi yake ya Sitta, kinyago CHA Rizone Happi chali... Azimio la Pwani kwishney Sasa Rais anatoka Kaskazini chezeya Laigwanani weye! Bado uenyekiti wa CHAMA Sasa watch ur back......... Uuuuuwiiiiiiii!

amepata kura ngapi mkuu,mana walikuwa bado wanahesabu sasa haya matokeo umeyatoa wapi au unawaandaa watu kisaikolojia ili uchakachue
 
Kwanza sidhani kama wewe ni kijana, kwanza hakuna kijana mwenye akili timamu ambaye hana maslahi yoyote na Mafisadi anayeisapoti CCM. Inaonekana akili yako haina tifauti na sura ya shigellah

huna hoja ndio mana unatokwa na povu hadi kwenye kwapa.kutukana ni dalili ya kuchoka kiakili.lala ushughulikiwe pengine akili itarudi
 
Kwanza sidhani kama wewe ni kijana, kwanza hakuna kijana mwenye akili timamu ambaye hana maslahi yoyote na Mafisadi anayeisapoti CCM. Inaonekana akili yako haina tifauti na sura ya shigellah

unatumia kichwa kufugia nywele tu.
 
ngoja tusubiri .... nasikia yule mchawi prof. Majimarefu ndiyo atapitishwa kuwa mgombea urais kwa ticket ya ccm ..... pamoja na manyaunyau sijui hii nchi itakuwaje ...

ccm wakimsimamisha huyo,chadema watamsimamisha shibuda au msagaji halima mdee
 
Yeye mwenyewe kabomoka ataweza kweli kuwajenga vijana?
Yeye ndiye mla RUSHWA mkubwa na yupo alipo kwa rushwa anawezaje kuwashutumu wenzake?
SHAME ON YOU JK
 
Back
Top Bottom