Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

Wanaoitwa vijana ambao wako CCM ni mafisadi watoto ambao mpango wao si ukombozi wa nchi ila matumbo yao. CCM ni genge la wezi waliokomaa na wanaojifunza mbinu za kuibia nchi. Hujiulizi kwa nn kigwangala na Bashe walitaka kuuwana? wizi mtupu.
 
ccm wakimsimamisha huyo,chadema watamsimamisha shibuda au msagaji halima mdee
unaniudhi sana unavyoshadidia ccm.halafu wewe inaonesha IQ yako ni ndogo sana maana uwezo wako wa ku argue ni zero
 
Mhuuu, nafuma kutali njile kutali!! Kupanga kulugo mwana wa mkulima?
 
Mhuuu, nafuma kutali njile kutali!! Kupanga kulugo mwana wa mkulima?

Umenikumbusha mbali sana, haya maneno yamo kwenye wimbo wa vijana jazz unaitwa "mizimu ya pamba moto", embu nitupie maana yake wakati tunaendelea kusubiri matokeo ya uvccm.
 
Wanaoitwa vijana ambao wako CCM ni mafisadi watoto ambao mpango wao si ukombozi wa nchi ila matumbo yao. CCM ni genge la wezi waliokomaa na wanaojifunza mbinu za kuibia nchi. Hujiulizi kwa nn kigwangala na Bashe walitaka kuuwana? wizi mtupu.
ha ha mkuu,ukweli utatuweka huru!
 
wezi wa wake za watu.mtanzania mwadilifu hawezi kwenda chadema....

Mbona Mkapa kamuoa mke wa Mramba (Mama Anna)? Hata hivyo mke haibwi bali anatongozwa na kukubali kwa ridhaa yake. Hata hivyo wizi wa mali ya umma ni kesi ya jinai, kulamba mke wa mtu ni kesi ya madai.

UVCCM ni chuo cha mafunzo ya wizi wa mali ya umma.
 
Ridhwani and Team ....chaguzi za CCM.......zimeedhihirishw kuwa mlifanya makosa makuubwa kugombana na KINGS MAKERS wenu....watu waliomsaidia Rais Kikwete kampeni....,mmepelekea nchi kwenye makundi....laiti Kikwete asingegombana na waliomuuingiza madarakani ......nchi hii ingekuwa Mbali ....tumepoteza Muda wote huu kwa malumbano...
Miaka hiii miiwili iiliyobaki fanyeni maridhiano kwa manufaa ya nchi...
 
Azimio la Bagamoyo......!!!!

makamu mwenyekiti wa UVCCM .......anatoka Tanga....KASKAZINI ..........
 
Mimi nimefanya utafiti kuhusu chaguzi za ccm tangu zilipoanza ngazi ya mashina.Nilichogundua ccm ipo kuanzia ngazi ya wilaya na kuendelea mpaka taifa na huku chini kuanzia shina mpaka kata viongozi waliochaguliwa wamekata tamaa,hawana mawasiliano na ngazi za juu,hawafanyi kazi zozote za siasa wala hawajui kazi yao ni nini.Kwa mfano kijijini kwangu huku Moshi viongozi wa mashina (mabalozi) wengi wao hawakuchaguliwa bali waliombwa kushika nafasi hizo baada ya kukosekana wagombea na wengi wao ni mamluki mara wako ccm mara chadema.Hata viongozi wa tawi la kijijini kwangu ni sawa na chadema wamefungua tawi lao ndani ya ccm.Karibu viongozi wote waliochaguliwa ni wafuasi sugu wa chadema na walisaidia sana chadema kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa 2010 na kushinda kiti cha udiwani kwenye kata yetu.Viongozi wa kata ndiyo usiseme kabisa kwanza ni mafisadi wakubwa wa mali za kata na walipodhibitiwa na Diwani aliyekuwepo ambaye alikuwa wa ccm walimhujumu kwenye uchaguzi wa 2010 na kuhakikisha ameanguka.Baada ya kuchaguliwa Diwani wa chadema ambaye walimuunga mkono wakidhani atawalinda katika ufisadi wao na ikawa kinyume chake sasa wameanza kumhujumu kwa kuwachochea wanachama wa ccm wasishiriki kwenye miradi ya maendeleo.Kwa ujumla viongozi wa ccm ngazi za chini ni vurugu tupu na chadema wamefanikiwa kuwavua baadhi yao magamba na kuwaingiza chadema kwa kuwaeleza kwamba ccm iko kuanzia ngazi ya wilaya ambako huko wanagombea watu wenye fedha,watoto wa vigogo,wake zao na ndugu zao wa karibu.
 
Msimamizi wa Uchaguzi Mhe. Lukuvi anatarajia kutangaza matokeo hivi punde...!
 
Ndugu zangu mimi kama mwanaCCM nipo ndani ya huu mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya jumuiya hii ya chama lakini yanayotendeka humu ndani kwa kweli sikubaliani nayo na ndio mana hata CHADEMA wanapotusema nje ni vema tukawa waungwana na kukubali kuwa ni vema tukajaribu kubadilika lakini ni vigumu mana tunaendelea kuwahadaa watanzania kuwa tupo kuwatetea wao.
Mimi nipo ndani ya CCM hapa katika kikao hiki lakini siungi mkono vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuitafuna CCM mpaka sasa ndio matokeo yanatangazwa ya washindi wa uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wanatangazwa waliofanikiwa kutoa fedha na kuweza kuchaguliwa sasa hiki ni chama gani kama mpaka utoe fedha ndio uchaguliwe.
HUU NDIO UCHWARA UNAOENDELEA KUWAPA UMAARUFU WAPINZANI WETU PALE TUNAPOKUWA WAGUMU KUJIREKEBISHA.
HAPA NDIO MATOKEO YANAANZA KUTANGAZWA PUNDE NITAYAJUMUISHA HUMU ILA TUNASIKITISHWA MAANA BILA KUWA NA PESA HUWEZI ONGOZA UVCCM NA KWELI VIJANA TUMEONESHA MFANO MBOVU MANA TUMESHINDWA KUSHIKAMANA NA KUTETEA SWALA LA RUSHWA.
MATOKEO YA MWENYEKITI NI WIZI MTUPU MTU KWA SABABU ANAO UWEZO WA KUTOA PESA KATOA NA KAPITA DUUUUUUUUUUU NAUMIA HAPA KAMA NIMLUKIE LUKUVI MANA NDIO ANATANGAZA MATOKEO MANA NAPATA HASIRA SANA.
MWENYEKITI SADIFA MAKAMU MBONI MHITA HAYA NDIO MATOKEO YALIYOPANGWA NA WANAOJIITA VIGOGO WA CHAMA MIMI KWELI NASEMA KAMA TUNAHITAJI KWENDA MBELE NA CCM YETU VEMA TUBADILIKE .
 
Kazi mnayo ccm sasa wewe upo ndani unalalamika tukusaidiajeeeeeeeee karibu huku nje kuna m4c wala hututoi rushwa ni full raha.
Kweli ccm inaeleka mwisho sasa ndugu yangu kama upo ndani na umeona hayo katika ngazi ndogo tu ya uvccm sasa hebu kiuungwana unatwambia nini watanzania kuhusu ccm na mkakakti wa kuondoa umaskini na kuwajali watu wa chini kama viongozi mnatuthibitishia kuwapata kwa utaratibu huo?
Kweli huu sio uungwana hata kidogo ccm wanaoendelea kuujenga katika sio tuu macho ya watanzania bali pia katika mioyo ya watanzania.
 
Ndugu zangu mimi kama mwanaCCM nipo ndani ya huu mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya jumuiya hii ya chama lakini yanayotendeka humu ndani kwa kweli sikubaliani nayo na ndio mana hata CHADEMA wanapotusema nje ni vema tukawa waungwana na kukubali kuwa ni vema tukajaribu kubadilika lakini ni vigumu mana tunaendelea kuwahadaa watanzania kuwa tupo kuwatetea wao.
Mimi nipo ndani ya CCM hapa katika kikao hiki lakini siungi mkono vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuitafuna CCM mpaka sasa ndio matokeo yanatangazwa ya washindi wa uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wanatangazwa waliofanikiwa kutoa fedha na kuweza kuchaguliwa sasa hiki ni chama gani kama mpaka utoe fedha ndio uchaguliwe.
HUU NDIO UCHWARA UNAOENDELEA KUWAPA UMAARUFU WAPINZANI WETU PALE TUNAPOKUWA WAGUMU KUJIREKEBISHA.
HAPA NDIO MATOKEO YANAANZA KUTANGAZWA PUNDE NITAYAJUMUISHA HUMU ILA TUNASIKITISHWA MAANA BILA KUWA NA PESA HUWEZI ONGOZA UVCCM NA KWELI VIJANA TUMEONESHA MFANO MBOVU MANA TUMESHINDWA KUSHIKAMANA NA KUTETEA SWALA LA RUSHWA.
MATOKEO YA MWENYEKITI NI WIZI MTUPU MTU KWA SABABU ANAO UWEZO WA KUTOA PESA KATOA NA KAPITA DUUUUUUUUUUU NAUMIA HAPA KAMA NIMLUKIE LUKUVI MANA NDIO ANATANGAZA MATOKEO MANA NAPATA HASIRA SANA.
MWENYEKITI SADIFA MAKAMU MBONI MHITA HAYA NDIO MATOKEO YALIYOPANGWA NA WANAOJIITA VIGOGO WA CHAMA MIMI KWELI NASEMA KAMA TUNAHITAJI KWENDA MBELE NA CCM YETU VEMA TUBADILIKE .

Mkuu, rafiki yangu Hapi kawa wa ngapi jamani?
 
Sijui mnajenga taifa gani? Vijana wa leo kama viongozi wa kesho maana yake Rushwa haitoisha CCM.
 
Nimemuona Rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea katika mikutano miwili ya uchaguzi wa UWT na huu wa Vijana kupitia Luninga..... kwa kweli niseme kuwa ninamuonea huruma kwa haya yanayotokea na yanayoendelea kutokea.... inaonekana jitihada zake zinafifishwa na baadhi ya watu ambao system inawafahamu..... lakini inapuuzia na inamdharau Mh. Rais....... ni aibu tena aibu ilioje TAKUKURU wapo kazini, usalama wa Taifa wapo kazini, Jeshi la polisi wapo kazini.... nashtuka kuona Mh. Rais analalamika kwamba rushwa imeota mizizi ndani ya CCM, nafahamu kuwa analifahamu hilo siku nyingi lakini wasaidizi wake wanamuangusha..... sasa yeye afanye nini/ ningekuwa mimi ningeshinikiza chaguzi zote za CCM za UWT na VIJANA zingefutwa na mchakato uanze upya..... lakini sio hao tu CCM wameingia katika hali ya sintofahamu katika rushwa kwa chaguzi kuanzia ngazi ya chini ............ matawi na kata...... JK anafahamu na wasidizi wake kwa makusudi wanamwangusga..... Mh. Raisi kama kuwaadhibu viongozi waliochaguliwa kwa rushwa ndani ya CCM ni vigumu....... basi fukuza viongozi wote wa TAKUKURU mabao kwa makusudi kabisa wanafanya mambo ya ajabu katika nchi hiii
 
Wanaopokea rushwa kwani walilazimishwa kuwachangua viongozi wala rushwa?
Kura si ni siri ya mtu mwenyewe?

Muache longolongo...kwani mlikuwa hamjui kuwa ni rushwa tupu imejaa humo kwenye chama chenu cha magamba?

Ningekuwa mimi ni mjumbe humo "rushwa ningekula, lakini ningechagua JEMBE"
 
Unalalamika halafu bado upo ndani ya CCM! You are absolutely poor and hypocrite.
 
unafanya nini kama ww?kama huwezi mabadiliko ndani ya sisem nje yapo upo tayari.achakunung´unika tenda
 
Back
Top Bottom