Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

Mwanaccm wa kweli aliyekunywa maji ya bendera ya kijani hawezi kuandika haya maneno. Wewe siyo CCM.
Wenye chama tunaelewa rushwa ndo imekishikilia chama chetu, rushwa na ccm ni sawa na chupi na makalio

Ndugu zangu mimi kama mwanaCCM nipo ndani ya huu mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya jumuiya hii ya chama lakini yanayotendeka humu ndani kwa kweli sikubaliani nayo na ndio mana hata CHADEMA wanapotusema nje ni vema tukawa waungwana na kukubali kuwa ni vema tukajaribu kubadilika lakini ni vigumu mana tunaendelea kuwahadaa watanzania kuwa tupo kuwatetea wao.

Mimi nipo ndani ya CCM hapa katika kikao hiki lakini siungi mkono vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuitafuna CCM mpaka sasa ndio matokeo yanatangazwa ya washindi wa uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wanatangazwa waliofanikiwa kutoa fedha na kuweza kuchaguliwa sasa hiki ni chama gani kama mpaka utoe fedha ndio uchaguliwe.

HUU NDIO UCHWARA UNAOENDELEA KUWAPA UMAARUFU WAPINZANI WETU PALE TUNAPOKUWA WAGUMU KUJIREKEBISHA.
HAPA NDIO MATOKEO YANAANZA KUTANGAZWA PUNDE NITAYAJUMUISHA HUMU ILA TUNASIKITISHWA MAANA BILA KUWA NA PESA HUWEZI ONGOZA UVCCM NA KWELI VIJANA TUMEONESHA MFANO MBOVU MANA TUMESHINDWA KUSHIKAMANA NA KUTETEA SWALA LA RUSHWA.

MATOKEO YA MWENYEKITI NI WIZI MTUPU MTU KWA SABABU ANAO UWEZO WA KUTOA PESA KATOA NA KAPITA DUUUUUUUUUUU NAUMIA HAPA KAMA NIMLUKIE LUKUVI MANA NDIO ANATANGAZA MATOKEO MANA NAPATA HASIRA SANA.
MWENYEKITI SADIFA MAKAMU MBONI MHITA HAYA NDIO MATOKEO YALIYOPANGWA NA WANAOJIITA VIGOGO WA CHAMA MIMI KWELI NASEMA KAMA TUNAHITAJI KWENDA MBELE NA CCM YETU VEMA TUBADILIKE .
 
Back
Top Bottom