Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

habari zisizo rasmi kutoka chumba CHA kuhesabia kura ni Kuwa Hamis Sadifa ndo Mwenyekiti mpya wa UVCCM huu ni ushindi mwingine kwa Lowassa! Msaraka chaaali! Pamoja na mbinu ya Yule dada kujitoa. Stay tuned
 
Kikwete angefanya tathmini ya kutosha kama anavyowaasa vijana asingegombea urais, kwani angegundua kwamba hana uwezo.

Zilongwa mbali, zitendwa mbali!
 
huo mkutano pekee una wajumbe wapatao 1300.achilia mbali wale waliopo ngazi za chini ambao wanaishia kwenye matawi kata na mashina.wewe peke ako ndio uko huko lakini vijana wenye akili timamu wapo ccm
mkuu, haa vijana waliopo ccm ni kwa ajili ya kula mkuu, lakini mioyo yao ipo vyama vingine!
 
Kushinda tu?.....Kushinda kivipi?......Na vipi kuwahudumia wananchi? Ndio maana alitoaahadi 100 za uwongo
KAMA MALENGO YA CCM NI KUSHINDA hiyo sera yao . sisi watanzania tupambanue nini wajibu . je ni kushinda chaguzi baada ya kushinda nini kinafuata. tuachane na vyama vya kushinda uchaguzi tuingie kwenye vyama vinavyoleta ukombozi wa kweli wa matatizo ya wananchi wetu. KIKWETE ALITUDANGANYA 2005 MAISHA BORA KWA KILA MTANZANI KUMBE ALITAKA ASHINDE ILI AWE NA MAISHA BORA KWA UKOO WA KIKWETE. NA HII INAJIDHIHIRISHA JINSI FAMILIA YAKE NA NDUGUZE WALIVYOSHINDA HUKO BAGAMOYO. HII AKILI NA MAWAZO ANAVITOA SAYARI GANI HUYU MNAZI WA BAGAMOYO?
 
Kweli kijana ukisikika upo Magambani kwa sasa unachekwa sana hasa huku nilipo wakuu.
 
Vijana ndani ya ccm ni kupoteza muda juu ya ukombozi wa taifa letu, uvccm ni chombo cha watoto wa wakubwa, na watoto wa maskini wachache waliopewa matumaini ya uwongo ya kupewa vyeo basi!
 
Ally Salum Happi nje Sasa ni Mboni Mhita na Paul Makonda Sasa hii ni vita ya Lowassa na Kambi ya Sitta Riz1 na kinyago chake Happi tupa kule nahisi watajoin forces dhidi ya Mhita ambaye ni Lowassa so far Bashe, Beno, na Sioi wamecheza karata zao vizuri..... Maskini Happi na boss wake huruma!

307981_376840485723799_1714891071_n.jpg

Ally Salum Hapi OUT UVCCM
 
Ni nani huyo mkuu? jitahidi kuweka habari iliyokamilika. Unapost kama uko mafichoni unaogopa usionwe na Riz One.
 
Ally Salum Happi nje Sasa ni Mboni Mhita na Paul Makonda

Hapa una maanisha hakupatikana mshindi wa moja kwa moja?
 
Vijana ndani ya ccm ni kupoteza muda juu ya ukombozi wa taifa letu, uvccm ni chombo cha watoto wa wakubwa, na watoto wa maskini wachache waliopewa matumaini ya uwongo ya kupewa vyeo basi!

we ni cdm pilipili yakuwashia nini?ccm ndio jicho la vijana wa tanzania
 
Hakupatikana mshindi wa moja kwa moja?

Back
Top Bottom