Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

Labda kama wako timamu matumboni siyo kichwani!

Una hitaji uwe na akili za mnyama ili uwe kijana wa ccm

huo mkutano pekee una wajumbe wapatao 1300.achilia mbali wale waliopo ngazi za chini ambao wanaishia kwenye matawi kata na mashina.wewe peke ako ndio uko huko lakini vijana wenye akili timamu wapo ccm
 
Akili timamu Kimaslahi au!!!
 
Chama imara? Nadhani ujui ulicho kiandika!

Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi..,Chama tawala na Chama Imara Tanzania amaliza hotuba yake kwa kuwaambia kuwa anaamini kuwa "RAIS WA TANZANIA MWAKA 2025 YUPO KWENYE UKUMBI HUU LEO HII"

Na hivi sasa anaelekea nje ya Ukumbi ambapo atapiga picha ya pamoja na wageni waalikwa kwa ajili ya ukumbusho na kisha ataendelea na majukumu yake mengine ya kuijenga na kiimarisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
huo mkutano pekee una wajumbe wapatao 1300.achilia mbali wale waliopo ngazi za chini ambao wanaishia kwenye matawi kata na mashina.wewe peke ako ndio uko huko lakini vijana wenye akili timamu wapo ccm

Hao vijana walioko ccm hawana akili kwani wao wanatumiwa tu na wanaofaidi ni vijana wa sampuli ya RIZ1; wengine wanapewa fulana na cap baada ya hapo ni kusaga rami tu mpaka uchaguzi mwingine!! Sasa kwako wewe hiyo ndio akili? Vijana wenye akili wamejikomboa na kujiunga na people'sooooooooooooos power!!
 
Wagombea nafasi ya makamu mwenyekiti Taifa wa UVCCM..,ndugu Hapi Ally Salum tayari amejieleza na Paul Makonda tayari hivi sasa Mboni Mhita anajieleza mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi...!
 
Kwenye kichwa cha habari ingefaa iandikwe Mkutano wa Taifa wa Vijana wa CCM.Sababu mkutano huo hauhusihi vijana wote bali wale wanachama wa CCM tu!
 
huo mkutano pekee una wajumbe wapatao 1300.achilia mbali wale waliopo ngazi za chini ambao wanaishia kwenye matawi kata na mashina.wewe peke ako ndio uko huko lakini vijana wenye akili timamu wapo ccm

Wezi wa mali ya umma. Kijana mwadirifu hawezi kubaki ChiChiMizi.
 
huo mkutano pekee una wajumbe wapatao 1300.achilia mbali wale waliopo ngazi za chini ambao wanaishia kwenye matawi kata na mashina.wewe peke ako ndio uko huko lakini vijana wenye akili timamu wapo ccm

the opposite is true! ni vijana wavivu wanaopenda vya bure na wavivu wa kufikiria ndio wamebakia CCM! kijana aliyeelimika na mwenye moyo wa utaifa na anayelitendea haki taifa hili hawezi kuendelea kuwepo ccm!
 
:croc:
Hizi ni moja ya kauli za Jakaya akiwahutubia UVCCM kule Dodoma.

Kuna watu wananipa updates ntakuwa nawapa.

Ila hii imenistua kidogo.

Hivi sheria inasemaje kuhusu anayetoa na kupokea Rushwa?

Tusemezane!

Mwl Nyerere alisema kuhusu rushwa aliyetoa na aliyepokea wazanaki wanasema wote "mankanjanja" kwamba hakuna wa kusamehe, sasa sijui mkubwa wa nchi amemaanisha nini hapo, historia inaonesha kwenye chaguzi zote za ccm anayetoa rushwa nyingi ndiye anayeshinda kama amuamini muulizeni Sumaye, sasa kusema watu wachukue rushwa lakini wasichague kwa misingi hiyo ni kujidanganya.
 
Habari za ccm hazina mvuto wa kuzijadili siku hizi, hasa hawa watoto wa vigogo wanotunishiana misuli ya baba yao kuoneshana ubabe wa kutoa rushwa.
 
hii ya raisi kuwa mwenyekiti wa chama kwa wakati huu wa vyama vingi haina tija?kwa nini asiwepo mwenyekiti ambaye sio RAISI?Raisi anakuwa wa vijana wote haijalishi itikadi zao.
 
Yani mwizi anamwambia mwane habari nzuri za kutokuiba na yeye akionekana kuiba kila siku. Mtoto huyo atafwata nyendo zipi je ka kutoiba au za kuiba.? Hichi ndicho anachofanya mzee jk
 
wagombea nafasi ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa wanaendelea kujitambulisha na kuomba kura kwa wajumbe wa Mkutano huo.

Wagombea wa nafasi hiyo wapo jumla 62, kwa upande wa bara wapo wagombea 40 na wagombea kutoka zanzibar wapo 22.,ambapo bara kuna nafasi ya viti 6 na zanzibar nafasi ya viti 4 na hivyo kufanya jumla ya viti 10 vyua wawakilishi wa vijana kupitia umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi kwenye chombo hicho cha maamuzi ya CHAMA.
 
tatizo la vijana wenye njaa wanafikiri ccm ndio kweye ulaji baada ya kuunga mkono harakati ya kutoa hili chama ili wafaidi maisha kama watanzania bila hata kutaka kuingia katika chama chochote.
lakini wanasahau kuwa ccm ina wenyewe. wao wanaishia kujaza kumbi na kutumika tu.wanafikiri siku moja watakuwa lowasa au nape kumbe wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
huo mkutano pekee una wajumbe wapatao 1300.achilia mbali wale waliopo ngazi za chini ambao wanaishia kwenye matawi kata na mashina.wewe peke ako ndio uko huko lakini vijana wenye akili timamu wapo ccm

ni bado kuna vijana wana imani ukijipendekeza ccm utapata kacheo.Mimi najua kama jina lako la ukoo halimo kwenye vitabu vya ccm utabaki kuwapigia makofi wateule watoto wa vigogo!Anyway tutakutana uchaguz 2015 with high unemployment rate.Kushabikia ccm inahitaji uwe chizi unl
 
rais anatoa kauli ya kutetea rushwa kweli rais tunaye mpaka 2015 natamani hata kutoitwa mtanzania mpaka itakapofika 2015 maana vitu kuanzia yeye hadi mawaziri
 
Mheshimiwa Rais atoa hotuba kali kwa vijana ambayo inalenga kuwajenga na kuwataka wafanye tathmini ya kutosha kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa ngazi ya Taifa ya Jumuiya hiyo ya Vijana.
....

Penye red hapo...Hahahahaha...Ukali wa hotuba hautishi watu kama uwajibikaji haupo...Ni sawa na mbwa asiye na meno kumbwekea mwizi......
 
Back
Top Bottom