chadema jiandaeni,ccm A wapo kwenye mission kuelekea 2015,..shibuda,selasini,zitto are people to watch closely now than ever

Kikao ndio kinakaribia kuanza, mwafaka umefikiwa wale wajumbe hawatapiga kura yoyote mpaka viyhibitisho viletwe hapa, lakini inaonekana vyovyote vile Mbatia kashikilia Mpini, Mkosamali na Kafulila wameshika ncha. Nitawajuza sasa hivi ni muda wa kugonga tea.

Masilah ya Mbatia kwanza, CCM halaf taifa badae
Mabounce waliopo wamekodiwa na Jemus Mbatia na wamevaa sare za NCCR Mageuzi.
Nani, Hamad Rashid?Wamfukuze tu.
Kikao ndio kinakaribia kuanza, mwafaka umefikiwa wale wajumbe hawatapiga kura yoyote mpaka viyhibitisho viletwe hapa, lakini inaonekana vyovyote vile Mbatia kashikilia Mpini, Mkosamali na Kafulila wameshika ncha. Nitawajuza sasa hivi ni muda wa kugonga tea.
Mnamkumbuka huyu jamaa wakati wa uchaguzi Igunga alikuwa anatuletea habari akisema yuko ndani ya kikao cha CDM sasa leo tena yuko ndani ya kikao ca NCCR inakuwaje ina maana yeye ni mjumbe wa vyama vyote. Ila ngoja tusubiri anaweza kweli kuwa na access na sehemu zote you never know.Wewe Wa Kusoma unadhani nani atakuamini humu? Haupo kwenye kikao na wala hauna hadhi ya kualikwa popote, wewe subiri T-shirt na kofia za bure 2015, lakini hauna hadhi ya kuingia kikao cha chama chochote hapa nchini.
Hapana. EL.Nani, Hamad Rashid?
Wamfukuze tu.