chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Sasa kama umeshuhudia Hayo yote Mbona haupandishi picture tunataka kumuona RAIS wetu aise.Mkuu kibogo sasa Lowasa amepaa na upo huru warushie wadau mapicha ya garika.lile garika ni hatari uwanja umejaa na barabara zimefunga,watu hawakujali vumbi la chopa,maduka yamefunga kwenda kumsikia patient politician never hapen before...Lowasa anatisha wakuu tuache masihara.naambiwa anaenda nzega
amewasili na kapaa tiyari kaacha gumzo nzito huko.watu wameamua apewe urais awatumikie,hawana sababu ya kumnyima kura.mkuu akituliwa atawapa picha.ila ilikuwa mafuriko ya hatari kuwahi kutokea pale.bro wangu CCM akanambia yeye alienda kuchunguza kama kuna malor yalikodiwa kusomba.ameambulia noah 2 zikiwa na team ya mgombea udiwani toka vijijiniVipi MAKAMANDA hapo Igunga, Lowassa ameshawasili?
Dah! Basi Tanzania imeamua na hakuna wa kupinga huu ni mpango kamili wa Mwenyenzi MUNGU.amewasili na kapaa tiyari kaacha gumzo nzito huko.watu wameamua apewe urais awatumikie,hawana sababu ya kumnyima kura.mkuu akituliwa atawapa picha.ila ilikuwa mafuriko ya hatari kuwahi kutokea pale.bro wangu CCM akanambia yeye alienda kuchunguza kama kuna malor yalikodiwa kusomba.ameambulia noah 2 zikiwa na team ya mgombea udiwani toka vijijini
haah haah apia!!uzuri watu wa Igunga walishatoa onyo mapema.una kumbukumbu za uchaguzi serikali za mitaa?"hapa wapite tu! Hili ni jimbo la Dr. Kafumu " wamesikika kwa sauti za juu wapiga kura wengi mitaa ya Igunga.
Ccm mwaka huu wataifilisi hazina kwa kuhonga akina Slaa na genge lake, tv karibu zote isipokuwa itv na azam tv naona hizo nyingine zinakazana kupinga mabadiliko. Lakini nawakumbusha kuwa, ktk vita Siku zote Mungu yupo upande wa haki. Tumechoka kuibiwa, tumechoka kuwa watumwa ktk ardhi yetu yenye kila aina ya utajiri. Bye bye ccm
Mungu yupo katika upande wa haki lakini Mungu hafungamani na wezi na mafisadi na wala rushwa kama Lowassa. Lowassa ni mwizi na Mungu hayupo upande wa Mwizi.
Mungu yupo katika upande wa haki lakini Mungu hafungamani na wezi na mafisadi na wala rushwa kama Lowassa. Lowassa ni mwizi na Mungu hayupo upande wa Mwizi.
hoja gani hapo,labda CCM wajibu udhaifu wa madiwani wao kupitisha tendaMakamba anasema Tenda zote za halmashauri ya Monduli Lowasa kampa Dadaake, hebu UKAWA jibuni hoja