Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .

Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .

" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "

========

Chemba :

Subpost 3 - Chemba Mpoooooooh..... ( 451 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Chemba Mpoooooooh..... ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Chemba Mpoooooooh..... ( 426 X 640 ).jpg

Singida Kaskazini

FB_IMG_1603637421579.jpg
FB_IMG_1603637409998.jpg
Subpost 2 - Singida Kaskazini Mpoooooo... ( 426 X 640 ).jpg
FB_IMG_1603637427452.jpg
 
Propaganda hazitawasaidia. Lissu amesema atatupa uhuru, haki na maendeleo. Semeni mtakachotupa ili tuwalinganishe. Haya ya mabeberu, kukimbia nchi wakati nyie ndio mliompa ulemavu, ushoga ni soga. Watanzania wana akili.
Na wewe unahudhuria huo mkutano au?
 
TL aongelee pia. Coverage ya habari ya TL ni kubwa kuliko hayo masomo unayoyaongelea. Lissu akiongelea mwenyewe inafikia watu wengi kwa wakati mmoja. Hili ni muhimu. Msidharau mambo yanayoonekana madogo. Nchi hii ina watu wengi sana wasiojua kusoma na kuandika.

Nimeona mahali kuwa mawakala wa CHADEMA bado hawakuapishwa licha ya kuongezwa kwa muda. Lakini sijasikia chama kikisema lolote. Mmekubalina na hali?
Tumeweka masomo ya namna hiyo karibu kila mahali
 
Mbona kila siku singida ?

Hawaamini ndungu zake wa singida ? Anajua watamfyekelea mbali

Hapa vijana tuna la kujifunza, Usaliti ni laana kwa Taifa
Wewe mbona unavuja kila siku badala ya "once per moon" lakini huulizwi!?
Wewe unavunja sheria kwani!?
 
TL aongelee pia. Coverage ya habari ya TL ni kubwa kuliko hayo masomo unayoyaongelea. Lissu akiongelea mwenyewe inafikia watu wengi kwa wakati mmoja. Hili ni muhimu. Msidharau mambo yanayoonekana madogo. Nchi hii ina watu wengi sana wasiojua kusoma na kuandika.

Nimeona mahali kuwa mawakala wa CHADEMA bado hawakuapishwa licha ya kuongezwa kwa muda. Lakini sijasikia chama kikisema lolote. Mmekubalina na hali?
Ushauri wako utafikishwa kwa wahusika
 
Unaruhusiwa kijifariji ?

All in all mr lissu tayari ana tiket ya kurudi ubeligiji, anajua field kukoje
Kampeni zimeisha, tunasubiria sherehe za kumuapisha Rais Tundu Lissu kipenzi cha watanzania wote na dunia kwa ujumla.
 
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .

Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .

" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "

View attachment 1611262

========
Asante kwa taarifa tupo pamoja
 
Back
Top Bottom