Yanayojiri katika maonyesho ya nane nane jijini Arusha

ukiwapulizia itakuwa bomba sana.............. kuja huko kwako, tuma ungo basi nianze safari, wa kwangu umeharibika. Ila niko serious na mambo ya bustani, napenda sana mboga mboga ila sipendi zile za sokoni

Mie siku hizi nimestaafu kutumia ungo. siku hizi natumia fisi...ngoja nikutumie fisi aje kukuchukua...si bado unakumbuka jinsi ya kumuendesha...??? Ukifika ndio tutaeongea hayo mambo ya mboga mboga.
 
ukipata nafasi piga picha hilo vumbi lililoko huko,maana kuna mtu nimeona katoka huko,kachafuka kama katoka kufukia mahindi
 
Young Master umenifanya nifikirie kuja kesho na familia yangu hapo Nane Nane mapema sana.

Good work & big up kwa kuwakilisha vyema. Pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa!!! Walikudanganya mkuu. Ungejaribu uone kama usingegeuzwa kuwa lunch. Simba ni mnayama hatari sana...Huwa hana urafiki na mtu.
mkuu hao naskia wa kufugwa... yaani hao hawana kwere, nadhani hao simba ni direct from serengeti ??
 
mkuu hao naskia wa kufugwa... yaani hao hawana kwere, nadhani hao simba ni direct from serengeti ??

Lakini pamoja na hayo yote mkuu unapaswa kufahamu ya kuwa simba ni simba...hata siku moja hawezi kubadilika na kuwa mpole kama kuku.
 
Lakini pamoja na hayo yote mkuu unapaswa kufahamu ya kuwa simba ni simba...hata siku moja hawezi kubadilika na kuwa mpole kama kuku.
ila wanyama jamii ya paka wote sio primitive , wanajifunza na kuelewa..sio mamba wala nyoka bro
 
Mkuu wangu Young Master ni kama saumu yangu umeiweka majaribuni kutokana na hiyo photo post # 3!!

Ha ha haaa!!! Usiogope mkuu...wewe funga macho usiangalie hiyo photo usije ukaingia majaribuni.
 
Back
Top Bottom