Yanayojiri katika maonyesho ya nane nane jijini Arusha

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
DSC04813.JPG DSC04815.JPG DSC04816.JPG DSC04817.JPG DSC04818.JPG DSC04819.JPG DSC04820.JPG DSC04822.JPG DSC04823.JPG DSC04824.JPG DSC04826.JPG DSC04827.JPG DSC04829.JPG DSC04830.JPG DSC04832.JPG DSC04833.JPG DSC04835.JPG DSC04836.JPG DSC04837.JPG DSC04838.JPG DSC04839.JPG DSC04841.JPG DSC04842.JPG DSC04843.JPG DSC04844.JPG
 
si yule mchawi wetu anayesababisha mpaka tushidwe kuweka maujanja ya free net hapa jf ?

Ha ha haaaa!!! huyo dawa yale ndogo sana Fatma Bawazir wala haina haja ha kununua gun. Tunampiga brute force attack au DDoS. Kama hizo zote mbili zikifail basi tunammaliza kwa kumpiga ping of death. Unaonaje hiyo Idea mkuu?
 
Last edited by a moderator:
wow! nimependa bustani za mboga na furniture. jana niliona maonesho ya kule Dodoma Nzuguni, aisee jeshi la magereza kupitia wafungwa wamefunika. Wana furniture nzurii sana
 
wow! nimependa bustani za mboga na furniture. jana niliona maonesho ya kule Dodoma Nzuguni, aisee jeshi la magereza kupitia wafungwa wamefunika. Wana furniture nzurii sana

Na bei ni ya kufa mtu pia kitanda karibu millioni mbili
 
Na bei ni ya kufa mtu pia kitanda karibu millioni mbili

its ok, kwani mbona twanunua furniture za bei ghali kutoka nje na zinatengenezwa kwa chep materials? Mie naona kwa ubora wa kitu chenyewe kam mtu una uwezo aah! ni bora ununue hizi za kwetu
 
Umenifurahisha sana kwa hiyo hana mdomo wala meno.
anao ila hana habari, anakuwa kama nyuki wa mashineni vile. au wanaume wanaokaa na wanawake muda wote halafu hawana japo mpenzi hata wa kuzugia
 
Back
Top Bottom