Yanayojiri katika maonyesho ya nane nane jijini Arusha

Mnh! Nimeangalia picha zote lakin macho yameganda kwenye nyama choma!
 
wow! nimependa bustani za mboga na furniture. jana niliona maonesho ya kule Dodoma Nzuguni, aisee jeshi la magereza kupitia wafungwa wamefunika. Wana furniture nzurii sana

jeshi la magereza siku zote huwa wanatengeneza ferniture nzuri sana kuliko hata za huko Furniture Centre. Wao ndio huwa wanafunika hata Huku A town.
 
wale wakufugwa, naskia unawekza ukazama mle ndani ya cage ukapiga nao picha kabisa

Ha ha haaaa!!! Walikudanganya mkuu. Ungejaribu uone kama usingegeuzwa kuwa lunch. Simba ni mnayama hatari sana...Huwa hana urafiki na mtu.
 
Ha ha haaaa!!! Usiogope Fixed Point hakuna kinachoshindikana kwangu. Mimi ndio Zeddicus Zu'l Zorander The First Wizard and a Wizard of the First Order. Omba chochote utakacho nami nitakupatia.
poa poa poa..... sasa ombi moja, ile thread ya DaJane ya mume mtarajiwa mbona siwezi tena kui-access? sijui kimetokea nini siwezi kufollow hiyo link, imefutwa?
 
poa poa poa..... sasa ombi moja, ile thread ya DaJane ya mume mtarajiwa mbona siwezi tena kui-access? sijui kimetokea nini siwezi kufollow hiyo link, imefutwa?

Maybe imehamishwa...Embu njoo huku kwangu nikufanyie dawa ili tujue imeenda wapi. Au kama vipi waulize mods. Au unataka niwapulizie dawa wairudishe?
 
Wala sio boflo...ni wewe mwenyewe ndio unayewindwa.

Mie huwa naamini sina maadui sasa niwindwe kwa nini jamani? Duh! Sasa itabidi nifikirie mpango wa kuingia jf kivingine ili nipishane na muwindaji bila kunitambua.
 
Maybe imehamishwa...Embu njoo huku kwangu nikufanyie dawa ili tujue imeenda wapi. Au kama vipi waulize mods. Au unataka niwapulizie dawa wairudishe?
ukiwapulizia itakuwa bomba sana.............. kuja huko kwako, tuma ungo basi nianze safari, wa kwangu umeharibika. Ila niko serious na mambo ya bustani, napenda sana mboga mboga ila sipendi zile za sokoni
 
Mie huwa naamini sina maadui sasa niwindwe kwa nini jamani? Duh! Sasa itabidi nifikirie mpango wa kuingia jf kivingine ili nipishane na muwindaji bila kunitambua.

Ha ha haaaa!!! dawa ya moto ni moto ni moto tu...Umesahau ule msemo usemao "Keep you friends close and your enemies even closer."
 
Back
Top Bottom