baada ya kutangazwa kuwa shelembi wa chadema ameshinda , uwanja wa manispaa ya shynga ulilipuka kwa furaha baada ya wafuasi wa chadema kuanza maandamano kulekea mjini shy kama km 2 kutoka manispaa, walipofika mjini shy,huku nyuma matokeo mengine yakatangazwa kuwa Masele wa CCM kashinda, ilichukua muda mashabiki wa chadema kugundua kuwa walikuwa wanashangilia ushindi usiokuwepo, hapo ndo fujo zikaanza ofisi za manispaa na ofisi ya ccm zimechomwa moto, mabomu na virungu na magari ya polisi yametanda mjini