CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Hekaya za Ellen G White.....Habari za jioni wana jamvi,
Mimi sio mwandishi mzuri, ila ninachokiona, kusikia na kutizama duniani ni dhahiri kwamba Unabii wa Daniel sura ya 2 unatimia.
Wakristo wengi wanakifahamu kitabu cha Daniel hasa sura ya pili nzima inaongelea nini... Kwa kifupi nanukuu mistari hii kisha connect dots utaelewa.
Daniel 2:41 Na kama vile ulivyoziona hizo nyayo za miguu na vidole vyake, kuwa nusu udongo wa mfinyanzi, na nusu chuma, ufalme ule utakuwa ufalme uliogawanyika; lakini ndani yake zitakuwako nguvu za chuma, kama vile ulivyoona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope. 2:42 Na kama vidole vya zile nyayo vilikuwa nusu chuma na nusu udongo, kadhalika ufalme ule utakuwa nusu yake una nguvu, na nusu yake umevunjika. 2:43 Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.
Kwa atakayeona haina mantiki apite tu. Ni mtazamo wangu binafsi.
CL
Hebu jione aibu kidogo....Ni kweli, haya matukio yanavyofuatana yanaendana. Papa kabariki ushoga.
Yawezekana wewe ndo ukawa hujui kinachosemwa make waliofunuliwa juu ya mambo haya ni wachache sana.Hekaya za Ellen G White.....
Hivi kweli inamaana hujui sababu za UK kujitoa EU...Punguzeni kudanganyana kwenye lessoni..
Hivi unajua dhima ya vitabu hivi vyenye masimulizi ya ki-epokaliptiki....?? Unajua chimbuko lake..? Au unabwabwaja tu hapa...EU inatajwa vema sana katika unabii japo kwenye yule mfalme mwenye nguvu haimo ila inatajwa kupitia miguu ya sanamu (Daniel 2:42) ambayo mfalme Nebukadreza aliota ambapo aliona jiwe ambalo alikuchongwa na kazi ya mikono ya mwanadamu likiigonga ile sanamu na kupasuka vipandex2.
Hapo ndipo hiyo EU ya uingereza inayojitoa inaposemwa, so charminglady upo njiani kwenye kutoa elimu muswano. Thanks
Kina nani hao..???Yawezekana wewe ndo ukawa hujui kinachosemwa make waliofunuliwa juu ya mambo haya ni wachache sana.
Mkuu hawa watu huwa wananiacha hoi...Yani hili kanisa lao kazi kubwa ni kutabiri vitu ambavyo hata havipo na kila wanapotabiri wanaangukia pua..Karibuni wana wa elen g white. Nabii aliyepagawa na mapepo
Yani huyo mleta uzi ndo ana maono..???Hao walioandika hapo ama wataka na kuziona sura zao?
Hamna lolote...Ni kama Znz inavyotaka kujitenga na Tanganyika..Yaani sijui kinacho endelea hapa! jaman fungukeni tujue nini kinacho endelea humu duniani
AIBU YANINI KWANI WEWE HUJUI KUWA PAPA ANASAPOTI USHOGA! WEWE NAWE HUJUI HILO! AU UNATAKA KULETA USHABIKITUU!Hebu jione aibu kidogo....
Ni lini alisapoti huo Ushoga...??AIBU YANINI KWANI WEWE HUJUI KUWA PAPA ANASAPOTI USHOGA! WEWE NAWE HUJUI HILO! AU UNATAKA KULETA USHABIKITUU!