Sasa kama kweli itaundwa kamati ya bunge kufuatilia jinsi mifuko ya jamii inavyoliwa kiharamu na viongozi basi pasipo shaka tutaona jinsi Ramadhani Dau alivyonunua cheo chake kwa kutoa fedha zetu nyingi kwa NGO ya mke wa mkulu iitwayo WAMA!!! Ili kula fedha za NSSF vizuri wakampa Dau kuwa mjumbe wa bodi ya WAMA; huu ni ufisadi wa hali ya juu.
Ni kawaida kwa CCM kuwajulia hali wagonjwa
View attachment 160617
Kwa nini akisimama mbunge wa CHADEMA kuchangia bungeni sauti yake ni ya kichagga?
Moses Machali ashindwa kutamka UHOLANZI badala yake ametamka ULANZI. Hawa UKAWA wanawaza kulewa tu
"Pole mama, utapona bibie" Hayo ndo maneno yanaonekana yanatoka kwa huyu jamaa aliyekuja kumjulia hali
Hawa wote waropokaji tu sijawahi kuona wakijenga hoja zaidi ya kupayuka tu.
Mbowe ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo
Ni kweli,hata baada ya kuwatesa,kuwang'oa kuchana meno Kibanda na Dr Ulimboka mlienda kuwajulia hali kudhihirisha mlivyo wanafiki
Baada ya kushindwa kulipa fedha za NSSF serikali imetoa warant ya kumkamata Mbowe
Zogwale, muda wa kurejesha mkopo huo ulipita na alipokumbushwa kulipa akasema kuwa yeye ni KUB na ataanza kulipa kuanzia mwaka 2016. Haya ni majibu ya kihuni sana ya Mbowe
"Pole mama, utapona bibie" Hayo ndo maneno yanaonekana yanatoka kwa huyu jamaa aliyekuja kumjulia hali
bora mbwa mwitu kuliko wewe kupe unayeshirikiana na mafisadi kuwanyonya maskini wa nchi hii.