Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 26 May 2014

Lusungo go check your fact mkuu!
UDA is abbr of USAFIRI DAR ES SALAAM;moja kwa moja na bila ubishi usajili wa UDA pale BRELA ulipata kibali toka Wizara ya uchukuzi na hata magari yao kuruhusiwa kubeba watu kibali chao kinasainiwa na maofisa toka Wizara ya Uchukuzi

Dr Mwakyemba HANA jibu kuhusu usanii wa uuzwaji UDA sababu waliofanya hivyo ni wenzake

Mkuu yaani ukitaka kusajili gari lako na uka[pata kibali Wizara ya Uchukuzi, basi gari lako linakuwa la uchukuzi? Uchukuzi ndio wanalimiliki? UDA ilikuwa chini ya Jiji kama owner na Jiji lipo chini ya TAMISEMI kwa maana hiyo kiwizara, UDA ilikuwa chini ya TAMISEMI na wala si Uchukuzi!

UMENIEREWA?

Mkuu UDA ni kampuni tanzu na gari langu ni private owned!
Kama UDA halina connection yyt na Wizara ya Uchukuzi basi Tanzania ni nchi ya ajabu sana!
 
Zungu hana lolote ujuwaji mwingi, kuwajibia mawaziri maswali na kujisahau kwa kuchangia hoja mara kwa mara ka siyo mwinyekiti. Wote ni vilaza vya ccm hawana jpya.

Huyu Zungu mnayemsifia hapa ndio mtamchukia akija kuwa spika. Mtazame muda wote kulazimisha wabunge kurudisha shilingi wakizishikilia.
 
Kama swali lingekuwa linauliza viwango vya mabasi na leseni moja kwa moja Dr. Mwakyembe angehusika kujibu swali hilo. Unapomuuliza yeye suala la umiliki au uendeshaji wa shirika sio tu hilo halimuuhusu lakini ni sawa na kumuuliza Waziri wa afya kwa nini Wahaya wamejaa hospitali ya Kairuki-Mikocheni.

mkuu hapa nadhani vilaza wote watakua wamekuelewa,
 
Mkuu yaani ukitaka kusajili gari lako na uka[pata kibali Wizara ya Uchukuzi, basi gari lako linakuwa la uchukuzi? Uchukuzi ndio wanalimiliki? UDA ilikuwa chini ya Jiji kama owner na Jiji lipo chini ya TAMISEMI kwa maana hiyo kiwizara, UDA ilikuwa chini ya TAMISEMI na wala si Uchukuzi!

UMENIEREWA?

Ndugai alikuwa sahihi kama wabunge walivyochachamaa. UDA inahusika na mambo ya usafiri. Ila haliko chini yake kwa hiyo ambacho kisingewezekana ni kushika shilingi katika mshahara wa waziri Mwakyembe.
 
sasa wizara kwa kutoa lesini ndio wanahusika na UDA? ...... UDA ni mradi wa jiji, na serikari kuu, mtunza malki wa serikali kuna tengo maalumu wizara ya fedha? sasa uchukuzi wanahusikaje?

Lusungo go check your fact mkuu!
UDA is abbr of USAFIRI DAR ES SALAAM;moja kwa moja na bila ubishi usajili wa UDA pale BRELA ulipata kibali toka Wizara ya uchukuzi na hata magari yao kuruhusiwa kubeba watu kibali chao kinasainiwa na maofisa toka Wizara ya Uchukuzi

Dr Mwakyemba HANA jibu kuhusu usanii wa uuzwaji UDA sababu waliofanya hivyo ni wenzake
 
Kama swali lingekuwa linauliza viwango vya mabasi na leseni moja kwa moja Dr. Mwakyembe angehusika kujibu swali hilo. Unapomuuliza yeye suala la umiliki au uendeshaji wa shirika sio tu hilo halimuuhusu lakini ni sawa na kumuuliza Waziri wa afya kwa nini Wahaya wamejaa hospitali ya Kairuki-Mikocheni.

mkuu samahani unaweza kutoa ledeni pasipo kujua mmiliki?.serikali ina kitu kinaitwa collective responsibility.haiwezekani taasisi mbili za serikali zikapingana hadharani
 
Wizara ya uchukuzi wana viwanja vya ndege, bandari, reli ya kati na tazara, hawamiliki UDA kwa namna yeyote hile, UDA Usafirshaji DAr es salaam, hauwezi kuwa mradi wa wizara ya uchukuzi, ni mambo ya TAMISEMI

Mkuu UDA ni kampuni tanzu na gari langu ni private owned!
Kama UDA halina connection yyt na Wizara ya Uchukuzi basi Tanzania ni nchi ya ajabu sana!
 
Huyo ndugai hajielewi na haelewi kiundani idara mbalimbali za serikali yeye cku zte anaishiaga dodoma na ubunge wake hajawai hata kuwa naibu waziri mkurupukaji tu
 
Ndugai hajui na wala hana uwezo wa kusimamia bunge. Amezidiwa na Zungu kwa kiasi kikubwa sana

Bora umeanza kuelewa maantiki ya maada, sio watoa maada kama unavyofanya muda mwingi.
Ndugai anaelewa vizuri sana, lakini shida yake ni kutaka kubana uhuru wa kila mjadala ili kuficha hata visivyofichika.
 
Ndugai alikuwa sahihi kama wabunge walivyochachamaa. UDA inahusika na mambo ya usafiri. Ila haliko chini yake kwa hiyo ambacho kisingewezekana ni kushika shilingi katika mshahara wa waziri Mwakyembe.

Naona watu hata hawaelewi kabisa mambo haya!

Katika hili ingekuwa UDA inakiuka masharti ya uchukuzi na usafirishaji sawa hapo Mwakyembe angekuwepo. Lakini hili la ownership wala halimhusu.

Yani hawa T2015CCM , Lizaboni, na [MENTION=48879]weston Songoro huwa wanapeana likes mwenyewe kwa wenyewe kwa utumbo wanaoandika ujinga mtupu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom