Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 26 May 2014

Mbowe Hatarini Kukamatwa kwa Kushindwa kulipa Deni NSSF

Wadau, baada ya kipindi cha Maswali na Majibu, kulikuwa na miongozi ya Wabunge kwa Naibu Spika. Moja ya hoja zilizojitokeza ni madai ya Lissu kuwa Wabunge wa CCM wanachukua fedha kutoka kwenye mifuko ya jamii. Hata hivyo, waziri Gaudensia Kabaka alisema kuwa si kweli kuwa wabunge wanaenda kuchukua fedha kwenye mifuko ya kijamii na kuweka mfukoni mwao bali wanaomba fedha kwenye mifuko hiyo kwa ajili ya maendeleo kwenye majimbo yao. Alisema kuwa ni wabunge wa CCM ndio wanaojitokeza kuomba kwa ajili ya majimbo yao jambo ambalo amesema kuwa ni jema. Anawashangaa wabunge wa upinzani kulalamika kuwa wabunge wa CCM wanaomba fedha kwenye mifuko yao ilhali wao hakuna anayewazuia kuomba.
Kibaya zaidi waziri Kabaka alisema ni pale Mbunge ambaye anajitokeza kukopa fedha kwenye mifuko hiyo na akakaa na deni kwa muda mrefu hali inayomfanya awe kwenye risk ya kukamatwa na kufunguliwa mashtaka. Alisema kuwa kuna kiongozi mmoja wa upinzani ambaye amekopa fedha nyingi NSSF na mpaka sasa anakwepa kulipa. Katika majibu ya nyongeza, Waziri wa TAMISEMI, HAWA GHASIA alimtaja mtu huyo kuwa ni Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ambaye alitumia mamlaka yake kama KUB kukopa kiasi kikubwa cha fedha (kiwango hakikubainishwa) na mpaka sasa hajalipa na haoneshi nia ya kulipa hivyo kujiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kukamatwa
 
Baada ya kushindwa kulipa fedha za NSSF serikali imetoa warant ya kumkamata Mbowe

Hebu tuwekee hiyo warrant hapa!!!Halafu mtu akishindwa kulipa deni huwa anafilisiwa kile alichokiweka dhamana!!! Hi imefanyika!!! Hakamatwi ila analetewa court summons ili aende mahakamani kwa kesi ya madai!! Sasa anakamatwa kwa lipi? Nenda ukajipange urudi tena kivingine. Mbowe warushie za uso hawa mafisadi, wanahaha tu
 
TOFAUTI YA CHAMA CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO​​​​(CHADEMA) NA CHAMA CHA MAPINDUZI (C.C.M)
UTANGULIZI
Wazo la kuandika katiba mpya lilikuwa ni wazo la CHADEMA kupitia mgombea wake Dr. Willibroad Peter Slaa. Wala halikuwa wazo la C.C.M wala mgombea wake Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

1. Tofauti ya "kwanza" ipo kwenye jina la vyama hivyo,wakati CHADEMA ni chama cha Demokrasia namaendeleo. Wao C.C.M ni chama cha kupindua mambo yote mazuri a.k.a kuyakataa na kuunga mkonomambo mabaya (ufisadi).

2. Wakati CHADEMA tunaunganisha nguvu za viongozi wetu kupiga vita "UFISADI". Wao C.C.M wanaungisha nguvu za viongozi wao kuwalinda "MAFISADI".

3.Wakati CHADEMA tunalinda rasilimali za umma (madini, misitu na wanyama) zisichukuliwe na wanaojiita wawekezaji. Wao C.C.M wanawalinda wawekezaji (wachukuaji) iliwaendelee kuchukua rasilimali za umma.

4.Wakati wabumge wa CHADEMA walipopinga tozo ya line za simu ambazo zitaumiza wananchi. Wao C.C.M waliunga mkono tozo hizo za line za simu kwa mbwembwe.

5.Wakati CHADEMA tunataka haki za binadamu na maadili ya viongozi viingie kwenye katiba mpya inayoandikwa na wananchi. Wao C.C.M wanapinga haki hizo zisiingie kwenye katiba.

6.Wakati CHADEMA tunataka tume huru ya ukaguzi.Wao C.C.M wanasema tume hii tuliyonayo inafaa.

7.Wakati CHADEMA tunaunga mkono Rasimu ya katiba,yenye maoni ya wananchi yene muundo wa Serikali tatu. Wao C.C.M wanaipinga Rasimu hiyo yenye maoni yawananchi.

"Rais Kikwete ndiye aliyeanzisha mchakato na yeye ndiye aliyesaini Rasimu ya pili mwanzo wa Rasimu na mwisho wa Rasimu. Na Kikwete huyo huyo ndiye aliyekuwawa kwanza kukataa jambo alilolikubali kwa kusainimwenyewe".
 
Itakusaidia nini ikiwekwa humu hiyo Warrant?
 
Lisu kamchongea bosi wake ataipata fresh yake wakirudi kwao lazima atwangwe adhabu kwa kidomodomo chake mpaka kamchongea boss wake.
 
Mbowe Hatarini Kukamatwa kwa Kushindwa kulipa Deni NSSF

Wadau, baada ya kipindi cha Maswali na Majibu, kulikuwa na miongozi ya Wabunge kwa Naibu Spika. Moja ya hoja zilizojitokeza ni madai ya Lissu kuwa Wabunge wa CCM wanachukua fedha kutoka kwenye mifuko ya jamii. Hata hivyo, waziri Gaudensia Kabaka alisema kuwa si kweli kuwa wabunge wanaenda kuchukua fedha kwenye mifuko ya kijamii na kuweka mfukoni mwao bali wanaomba fedha kwenye mifuko hiyo kwa ajili ya maendeleo kwenye majimbo yao. Alisema kuwa ni wabunge wa CCM ndio wanaojitokeza kuomba kwa ajili ya majimbo yao jambo ambalo amesema kuwa ni jema. Anawashangaa wabunge wa upinzani kulalamika kuwa wabunge wa CCM wanaomba fedha kwenye mifuko yao ilhali wao hakuna anayewazuia kuomba.
Kibaya zaidi waziri Kabaka alisema ni pale Mbunge ambaye anajitokeza kukopa fedha kwenye mifuko hiyo na akakaa na deni kwa muda mrefu hali inayomfanya awe kwenye risk ya kukamatwa na kufunguliwa mashtaka. Alisema kuwa kuna kiongozi mmoja wa upinzani ambaye amekopa fedha nyingi NSSF na mpaka sasa anakwepa kulipa. Katika majibu ya nyongeza, Waziri wa TAMISEMI, HAWA GHASIA alimtaja mtu huyo kuwa ni Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ambaye alitumia mamlaka yake kama KUB kukopa kiasi kikubwa cha fedha (kiwango hakikubainishwa) na mpaka sasa hajalipa na haoneshi nia ya kulipa hivyo kujiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kukamatwa
Lizaboni Mkuu huo mkopo wa Mbowe ni wa muda mrefu na wakati ule hakuwa KUB. Acheni kuchapia kajipange upya!! Na ule wa Mzindakaya tena Government Guaranteed toka Guarantee Scheme BOT alishalipa mabillion yale? Tusemee kwanza EPA, Escrow 200 billion na zile 480 billion na nyingine nyingi ndipo tuje issue ya Mbowe ya vijisenti.
 
Lisu kamchongea bosi wake ataipata fresh yake wakirudi kwao lazima atwangwe adhabu kwa kidomodomo chake mpaka kamchongea boss wake.
Ni kweli Mkuu. Tena ameambiwa na Naibu Spika kuwa kabla ya kuongea, ni vema akatafakari kwanza juu ya kile anachotaka kuongea
 
Itakusaidia nini ikiwekwa humu hiyo Warrant?

Mkuu umebahatika kwenda kumsalimia Mgonjwa?

kamata.jpg
 
TOFAUTI YA CHAMA CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO​​​​(CHADEMA) NA CHAMA CHA MAPINDUZI (C.C.M)
UTANGULIZI
Wazo la kuandika katiba mpya lilikuwa ni wazo la CHADEMA kupitia mgombea wake Dr. Willibroad Peter Slaa. Wala halikuwa wazo la C.C.M wala mgombea wake Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

1. Tofauti ya "kwanza" ipo kwenye jina la vyama hivyo,wakati CHADEMA ni chama cha Demokrasia namaendeleo. Wao C.C.M ni chama cha kupindua mambo yote mazuri a.k.a kuyakataa na kuunga mkonomambo mabaya (ufisadi).

2. Wakati CHADEMA tunaunganisha nguvu za viongozi wetu kupiga vita "UFISADI". Wao C.C.M wanaungisha nguvu za viongozi wao kuwalinda "MAFISADI".

3.Wakati CHADEMA tunalinda rasilimali za umma (madini, misitu na wanyama) zisichukuliwe na wanaojiita wawekezaji. Wao C.C.M wanawalinda wawekezaji (wachukuaji) iliwaendelee kuchukua rasilimali za umma.

4.Wakati wabumge wa CHADEMA walipopinga tozo ya line za simu ambazo zitaumiza wananchi. Wao C.C.M waliunga mkono tozo hizo za line za simu kwa mbwembwe.

5.Wakati CHADEMA tunataka haki za binadamu na maadili ya viongozi viingie kwenye katiba mpya inayoandikwa na wananchi. Wao C.C.M wanapinga haki hizo zisiingie kwenye katiba.

6.Wakati CHADEMA tunataka tume huru ya ukaguzi.Wao C.C.M wanasema tume hii tuliyonayo inafaa.

7.Wakati CHADEMA tunaunga mkono Rasimu ya katiba,yenye maoni ya wananchi yene muundo wa Serikali tatu. Wao C.C.M wanaipinga Rasimu hiyo yenye maoni yawananchi.

"Rais Kikwete ndiye aliyeanzisha mchakato na yeye ndiye aliyesaini Rasimu ya pili mwanzo wa Rasimu na mwisho wa Rasimu. Na Kikwete huyo huyo ndiye aliyekuwawa kwanza kukataa jambo alilolikubali kwa kusainimwenyewe".
Wakati ccm ni chama cha kutetea wananchi maskini, wao chagadema ni saccos ya mtei na mkwe wake
wakati ccm ni ya watz wao chagadema ni ya wachaga
wakati ccm haiangalii imani ya mtu, wao machadema ni kwa ajili ya wakristo hasa katoliki
 
Itakusaidia nini ikiwekwa humu hiyo Warrant?
Ndiyo evidence zenyewe mkuu si kutuangia maji ndani ya kinu. Uzuri mmoja mnalianzisha wenyewe na kujijibia wenyewe. Mkopo wa Mbowe mbona ni wa kitambo sana kabla ya KUB?? Hebu tupe data za mkopo wake NSSF akiwa KUB!!!! Majungu haya.
 
Lizaboni Mkuu huo mkopo wa Mbowe ni wa muda mrefu na wakati ule hakuwa KUB. Acheni kuchapia kajipange upya!! Na ule wa Mzindakaya tena Government Guaranteed toka Guarantee Scheme BOT alishalipa mabillion yale? Tusemee kwanza EPA, Escrow 200 billion na zile 480 billion na nyingine nyingi ndipo tuje issue ya Mbowe ya vijisenti.
Zogwale, muda wa kurejesha mkopo huo ulipita na alipokumbushwa kulipa akasema kuwa yeye ni KUB na ataanza kulipa kuanzia mwaka 2016. Haya ni majibu ya kihuni sana ya Mbowe
 
TOFAUTI YA CHAMA CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO​​​​(CHADEMA) NA CHAMA CHA MAPINDUZI (C.C.M)
UTANGULIZI
Wazo la kuandika katiba mpya lilikuwa ni wazo la CHADEMA kupitia mgombea wake Dr. Willibroad Peter Slaa. Wala halikuwa wazo la C.C.M wala mgombea wake Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

1. Tofauti ya "kwanza" ipo kwenye jina la vyama hivyo,wakati CHADEMA ni chama cha Demokrasia namaendeleo. Wao C.C.M ni chama cha kupindua mambo yote mazuri a.k.a kuyakataa na kuunga mkonomambo mabaya (ufisadi).

2. Wakati CHADEMA tunaunganisha nguvu za viongozi wetu kupiga vita "UFISADI". Wao C.C.M wanaungisha nguvu za viongozi wao kuwalinda "MAFISADI".

3.Wakati CHADEMA tunalinda rasilimali za umma (madini, misitu na wanyama) zisichukuliwe na wanaojiita wawekezaji. Wao C.C.M wanawalinda wawekezaji (wachukuaji) iliwaendelee kuchukua rasilimali za umma.

4.Wakati wabumge wa CHADEMA walipopinga tozo ya line za simu ambazo zitaumiza wananchi. Wao C.C.M waliunga mkono tozo hizo za line za simu kwa mbwembwe.

5.Wakati CHADEMA tunataka haki za binadamu na maadili ya viongozi viingie kwenye katiba mpya inayoandikwa na wananchi. Wao C.C.M wanapinga haki hizo zisiingie kwenye katiba.

6.Wakati CHADEMA tunataka tume huru ya ukaguzi.Wao C.C.M wanasema tume hii tuliyonayo inafaa.

7.Wakati CHADEMA tunaunga mkono Rasimu ya katiba,yenye maoni ya wananchi yene muundo wa Serikali tatu. Wao C.C.M wanaipinga Rasimu hiyo yenye maoni yawananchi.

"Rais Kikwete ndiye aliyeanzisha mchakato na yeye ndiye aliyesaini Rasimu ya pili mwanzo wa Rasimu na mwisho wa Rasimu. Na Kikwete huyo huyo ndiye aliyekuwawa kwanza kukataa jambo alilolikubali kwa kusainimwenyewe".

Si kweli. Nakumbuka hilo ni wazo la CUF na mpaka rasimu ya katibu waliitengeza na kuipeleka Serikalini, miaka kadhaa kabla chadema hawajaanza kuongelea katiba mpya.
 
Umesahau kuwa hata NGO ya Mchumba wa Dr Slaa iitwayo INGETA imepewa kiasi kikubwa na NSSF

Hapa mie nimezungumzia WAMA na uhusiano wake na NSSF ya DAU; kwani DAU ni mjumbe wa bodi ya Hiyo INGETA yako?
 
Two wrongs do not make a right.
Prov. Someone else may do something bad and not be punished, but that does not mean you are allowed to do bad things

»»Kukopa kwa mbowe NSSF hakumzuii Lissu asiwazungumzie matonya wa ccm.
 
Back
Top Bottom