Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Mhhh, Serukamba hapa anahitajika.



anaogopwa sana kwa sababu ni mgonjwa wa kudumu pale mirembe. anaweza kuvua nguo hadharani ikawa fedheha kwa bunge na taifa
 
Last edited by a moderator:
Spika Ni Tatizo Kubwa Sana Kwenye Bunge Pia Pesa Zile Ni Wazi Kwaajili Ya Uchaguzi Mkuu
Una uhakika au umeamua kuropoka. No research no right to speak. Tatizo ninyi hata mkisikia habari za vijiweni mnazileta kwenye JF. Subiri sheria ya mtandao itakavyokushughulikia.
 
Hata mimi namsikiliza Lissu , analalamika tu sioni hoja yoyote ya msingi katika hotuba yake.

Huwezi kuelewa kwa sababu kunawanaokwambia hujifanye uelewi....Ila siku hao wanaokutuma wakikuacha bila ya kuelewa uanzie wapi na hujui wako wapi, na sisi tunaowaelewa kwa sasa hao wasiotaka wewe uelewe walipo, ndo utakujaelewa ukisha-OLEWA na kuwekwa ndani kwa wanaoelewa!!!.....Endelea kujifanya humwelewi T.Lissu
 
Huwezi kuelewa kwa sababu kunawanaokwambia hujifanye uelewi....Ila siku hao wanaokutuma wakikuacha bila ya kuelewa uanzie wapi na hujui wako wapi, na sisi tunaowaelewa kwa sasa hao wasiotaka wewe uelewe walipo, ndo utakujaelewa ukisha-OLEWA na kuwekwa ndani kwa wanaoelewa!!!.....Endelea kujifanya humwelewi T.Lissu
Soma tena mkuu ulichoandika,

Hii inatokana na kuchangyikiwa au hujielewi kama umekosea au umepagawa tu kutokana na mambo yenu ya kibavicha,

Siku zote Lisu amekuwa ni mtu wa kulalamika wala hana hoja ambayo anaweza kuitoa ikawa ya msaada kwa jamii.
 
Una uhakika au umeamua kuropoka. No research no right to speak. Tatizo ninyi hata mkisikia habari za vijiweni mnazileta kwenye JF. Subiri sheria ya mtandao itakavyokushughulikia.

Hizo ndio dalili za utawala uliochoka, kutumia sheria kandamizi na vyombo vya dola kujihakikishia utawala.

Badala kutumia nguvu nyingi kuwashitaki wanaotafuna rasilimali za nchi, badala yake mnakazana kuwafunga midomo wanaodai haki zao.
 
Mbunge wa Rombo mh josephine selasini ambaye ni mbunge wa Rombo ambako ndiyo ulevi ulikozaliwa mpaka wanalewa kiasi kwamba hata tendo la ndoa hawawezi kufanya.

kwa pamoja tumsikilize kama atafafanua masuala yao ya ulevi wa kupindukia.
 
wakuu muda mfupi ulopita AG mtarajiwa (lissu) katoka kuwasilisha maoni ya kambi ya upinza na kawachana mbaya mbovu magamba na prof wao wa kichina ila sijaskia mtu anaomba muongozo wala kutoa taarifa wote kimyaaa wakat co kawaida yao..


Mungu amjalie maisha Marefu.Kiliocha wengi itapata majibu.

Oct.2015 historia itatupa majibu. Kwa wasomaji na wafuatiliaji Lissu ni Kama Marehemu Robert F.Kennedy
Hakuna kurembe maneno panapo ukweli na kushughulika na wahalifu.


 
Mkuu unabisha nini hujasikia kuwa mpaka wanawake wa Rombo wanakwenda kutafuta wanaume kenya.
 
Halafu huyu Josephina mbona anaongea kama amelewa hivi? Yaelekea ile kauli kuwa wananchi wa Rombo ni walevi sana ni sahihi. Sauti yake imekauka as if kanywa gongo vile
 
Chonde chonde tuache haya. Tuna shule nyingi za wasichana mle wasije wakarudi kama wa wa kule Nigeria!
 
Sasa JK tutamuita rais wa nani? Maana hii nchi ni yake
 
"Baadhi ya wanawake wilayani humo, hukodi wanaume kutoka Kenya kwa ajili ya kufanya nao tendo la ndoa baada ya waume zao kupoteza nguvu kutokana na ulevi" ~ Alisema Mkuu wa wilaya


"Imefikia mahali wanaume wengi wanashindwa kumudu kufanya tendo la ndoa na kuwalazimu wanawake wao kukodi wanaume kutoka nchi jirani ya Kenya kwa ajili ya tendo hilo," alisema Kipuyo.


"Kauli hiyo iliungwa mkono na baadhi ya wanawake waliozungumza mbele ya mkuu huyo wa wilaya..."

Chanzo: Mwananchi

Madhara ya kuwapa wapiga kura Pombe baada ya maendeleo yanaanza kujidhihirisha...



kp21052015.jpg







 
Huyu Selasini ni Mbunge mjinga kuliko wote ana chochea Mkuu wa wilaya afukuzwe kwa kuwa amesema ukweli kuwa Rombo kuna uevi ulio kithiri hadi wanaume wana shindwa kutimiza wajibu wao na wana wake wana kwenda kenya!

Selasini inaelekea ni mlevi wa kupindukia ndio maana haoni tatizo na hawezi kumpongeza mkuu wa wilaya na kamati yake pia na ITV kwa kuibua tatizo ambalo lipo na hakuna siri....!


Yeyote aliye angalia kipindi cha report maalum cha ITV atakubaliana na mi kuwa Selasini ni mbunge mtupu na haijui vizuri Rombo au ni mmoja wa walevi....!
 
Back
Top Bottom