Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Halafu huyu Josephina mbona anaongea kama amelewa hivi? Yaelekea ile kauli kuwa wananchi wa Rombo ni walevi sana ni sahihi. Sauti yake imekauka as if kanywa gongo vile

Teh Teh ....halafu nilishangaa sana alipokuwa ana taka gongo ihalalishwe kwakweli huyu jamaa ni mlevi kabisa...
 
Mbunge wa Rombo mh josephine selasini ambaye ni mbunge wa Rombo ambako ndiyo ulevi ulikozaliwa mpaka wanalewa kiasi kwamba hata tendo la ndoa hawawezi kufanya.

kwa pamoja tumsikilize kama atafafanua masuala yao ya ulevi wa kupindukia.

Huyo Mbunge Josephine Selasini ni wa CCM au?Maana sijawahi kusikia jina hilo......Hivyo kwa maana hiyo ulichoandika ni uongo hakuna Mbunge anayeitwa Josephine Selasini........
 
"Baadhi ya wanawake wilayani humo, hukodi wanaume kutoka Kenya kwa ajili ya kufanya nao tendo la ndoa baada ya waume zao kupoteza nguvu kutokana na ulevi" ~ Alisema Mkuu wa wilaya


“Imefikia mahali wanaume wengi wanashindwa kumudu kufanya tendo la ndoa na kuwalazimu wanawake wao kukodi wanaume kutoka nchi jirani ya Kenya kwa ajili ya tendo hilo,” alisema Kipuyo.


"Kauli hiyo iliungwa mkono na baadhi ya wanawake waliozungumza mbele ya mkuu huyo wa wilaya..."

Chanzo: Mwananchi

Madhara ya kuwapa wapiga kura Pombe baada ya maendeleo yanaanza kujidhihirisha...



kp21052015.jpg







Daah!!! Hii habari inasikitisha sana.
 
Huyu Selasini ni Mbunge mjinga kuliko wote ana chochea Mkuu wa wilaya afukuzwe kwa kuwa amesema ukweli kuwa Rombo kuna uevi ulio kithiri hadi wanaume wana shindwa kutimiza wajibu wao na wana wake wana kwenda kenya!

Selasini inaelekea ni mlevi wa kupindukia ndio maana haoni tatizo na hawezi kumpongeza mkuu wa wilaya na kamati yake pia na ITV kwa kuibua tatizo ambalo lipo na hakuna siri....!


Yeyote aliye angalia kipindi cha report maalum cha ITV atakubaliana na mi kuwa Selasini ni mbunge mtupu na haijui vizuri Rombo au ni mmoja wa walevi....!

Inawezekana ni MJINGA lakini hajamzidi Mulugo...........Pole sana ni ukweli tu
 
Halafu mbona tena UKAWA wamebadilika kuhusu Katiba inatopendekezwa, awali walikuwa wanasema Katiba inayopendekezwa haijakidhi matakwa ya wananchi, leo kilio chao kikubwa ni kama kura ya maoni itakuwepo. Mbona wanajikanyaga hivi.


Tulia wewe, kweli huuujuhi mchezo, hapo ni kama Myweather na Pacyao, mtu anvutwa akiingia kingi, anakula chembe kidevu, anakaa chini, game imeisha.

unabakia kulalamika Changa twawala, lakini ndio mshafungwa.
 
Leo mchana mwanasheria nguli na mbunge wa singida mashariki,amemchanachana vibaya mkuu wa wilaya ya iramba ambae pia ni mbunge wa viti maalum wa ccm,bungeni.Lisu ameweka wazi tabia chafu ya dc wa iramba ya kuingilia kazi za ocd wa iramba,pale dc huyo alipozuia mkutano wa Chadema uliokuwa uhutubiwe na dada shupavu bi Jeska Kishoa jumamosi iliyopita.Kwa mujibu wa katiba dc hana mamlaka yeyote ya kujihusisha na mikutano ya kisiasa,kwani hiyo ni kazi ya ocd,alisema Lisu leo bungeni.
 
Tutupieni tu clips jamani wengine ni shida huku.
 
Tutakutana October , ndipo mtakapojua kuwa wananchi tumechoshwa na dharau zenu .
 
Tatizo la Lisu hachagui pa kupiga,ye anapiga tu haijalishi anapiga mtoto au mkubwa.nasikia leo amemtwisha DC Iramba mingumi ya uso.haaa haah
 
Namshangaa Lissu anajifanya kudai kuwepo kwa kura ya maoni ilhali waliweka mpira kwapani

hamna kitu kama hicho, Lisu anajaribu kufungua wanyinga katika.kifungo cha uwezekano wa kura halali ya maoni....mfano mmoja wao ni wewe
 
CCM ingekuwa na watu wawili tu kama TL leo isingekuwa inapata taabu kumpata mgombea Urais wake!
 
Leo nimemsikia mheshimiwa kafulila akimuuliza Waziri mkuu,ni kwa nini serekali bado inaiilipa IPTl tena chini ya muwekezaji tapeli na bigwa Wa kugushi Seti,alafu spika Makinda amekataa Waziri mkuu asijibu swami hili,jamani Sana jamvi Hii serekali inatoa wapi hichi kiburi cha kuchezea Pesa za watanzania kuna nini hapa wanajamvi?
 
Back
Top Bottom