Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

anampongeza kwa mkuanzisha mchakato wa katiba na kufanikiwa kuwaunganisha watanzania wote na hivyo kupata katiba inayotokana na watanzania wenyewe tofauti na katiba zilizopita

Mbona Lisu anasoma sasa hivi? anayasoma mbona ni tofauti kabixa na Unavyoripoti??? Acha ushambega weye!!!!!!!!!!!
 
Hivi Lissu anasoma maoni ya Kambi rasmi ya Upinzani au maoni yake binafsi? Naona kila anachokitamka anasema "KWENYE MAONI YANGU" badala ya maoni ya kambi rasmi ya upinzani.
 
Ndugu wana JF,
Nimesikia leo ni wizara ya sharia na katiba nasubiri Tundu Lissu anifungue upeo wa kuelewa hizi sharia maana ni kama zinanichanganya sana
 
Wanabodi, masikio yetu yaenda Dodoma, Lisu anaua tena...., anachangia hoja ya Wizara ya Sheria na Katiba..., anazika uwezekano wa kupiga kura ya maoni kwa hoja za kisheria...!

hee kumbe lissu ni muuwaji ee?? hafai hata kidogo huyu
 
Naona kama Spika na bunge lake wanapunguza % ya Mh.Pinda kupata uraisi
 
Ndugu wana JF,
Nimesikia leo ni wizara ya sharia na katiba nasubiri Tundu Lissu anifungue upeo wa kuelewa hizi sharia maana ni kama zinanichanganya sana

unajua leo ni tarehe ngapi kwani! kama hujui basi fuatilia halafu utajua kuwa Lisu atakuwa kwenye hali gani.
 
Mwanza wameondoa umeme muda huu

Mahakama Kuu imechoka kabisa.Waziri hajaambiwa vizuri.Dsm hapa Kesi za madai za zaidi ya miaka mitano kumi zinapigwa dana dana.MAJAJI hawana hata soni kuahirisha Kesi hasa pale chombo cha serekali kinashitakiwa na wananchi.ni ajabu
 
wakuu muda mfupi ulopita AG mtarajiwa (lissu) katoka kuwasilisha maoni ya kambi ya upinza na kawachana mbaya mbovu magamba na prof wao wa kichina ila sijaskia mtu anaomba muongozo wala kutoa taarifa wote kimyaaa wakat co kawaida yao..
 
Spika Ni Tatizo Kubwa Sana Kwenye Bunge Pia Pesa Zile Ni Wazi Kwaajili Ya Uchaguzi Mkuu

Spika ni 'puppet', someone outside is pulling the strings - basi. Na hizi pesa anazokusanya Singasinga tunazisubiri kwa hamu, tutazitafuna na KURA hatuwapi. Tena safari hii tunazilinda pia.
 
anaogopwa sana kwa sababu ni mgonjwa wa kudumu pale mirembe. anaweza kuvua nguo hadharani ikawa fedheha kwa bunge na taifa
 
Hata mimi namsikiliza Lissu , analalamika tu sioni hoja yoyote ya msingi katika hotuba yake.

Acha undorobo jibu ni kwa nini Serikali ya CCM haijatoa taarifa yoyote rasmi hadharani au Bungeni kuhusu shambulio la Kibanda wala Ulimboka?
Ukiweza nitaamini upuuzi wako kwamba lissu hana hoja!
 
Back
Top Bottom