Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo tarehe 21 May 2015

Sasa Leo nimegundua kwamba serikali ya ccm haiko kidemokrasia waziri Mkuu kuzuiwa kutokujibu la Mh:Kafulila naniswali la msingi linalo wagusa Watanzania ni jambo la kusikitisha nchi yetu inaongozwa kibabe (kikoministi) zaidi tujikaze Watanzania tutajikomboa
 
katka kuchangia kuna mbunge kaonge pumba, sijui kala maharage ya wapi huyu mbunge tena wa jimbo la misenyi ,manina ,
 
Jana Mh. Spika alimbania Mh Kafulila alipokuwa anataka kuangusha bomu kubwa zaidi katika sakata la escrow. Imekuwa tabia ya uyu mama kila wapinzani wanapokuwa na hoja za kuibana serikali lazima awabanie kwa kuwachomekea mara kanuni hairuhusu, mara hivi. Sijui itumike mbinu gani ili hoja za wapinzani zipate kusikika.
 
Uchaguzi ndio kimbilio na majibu ya hawa waliotosheka
 
Una uhakika au umeamua kuropoka. No research no right to speak. Tatizo ninyi hata mkisikia habari za vijiweni mnazileta kwenye JF. Subiri sheria ya mtandao itakavyokushughulikia.

sheria zipo mkuu naona mnazungumzia sana sheria ya mtandao mtandao za ufisadi hazipo? Mbona hamzungumzii vtu vinavyodhuru jamii moja kwa moja au mnatumwa kutisha watu na kutoa hoja dhaifu na watu wachangie waache hoja za msingi..
 
Back
Top Bottom