mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,137
- 2,584
Sijui kama watendaji wa Dawasco na Wizara ya Maji wanajua hali halisi ya maji mtaani,wakati mnajadili bajeti yenu hii ni wiki ya 3 mtaani hakuna tone la maji na biashara ya maji imeshamiri na mpaka sasa dumu moja ni Tsh 1000,na maji ya chumvi yaani yale ya kisima ni Tsh 500.
Sijajua kama hii ni biashara yenu ama la. Na DAWASCO you dont bother hata kuwapa taarifa wateja wenu nini tatizo.
Kumbukeni kuwa hamfanyi biashara na hampaswi kufanya biashara nyie mnatoa huduma tena ilitakiwa iwe hata bure....!
Najua mnapita kusoma hapa piteni huku mtaani kwa kina kajambanani uone hali ilivyo mbaya , kwenye madaladala kuna perfume za asili balaa yaani uki smell you sleep....!