Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

...SAMMUEL JOHN SITTA, anasema ameshinda kwa sababu ya uwezo na Nguvu za Mungu.
 
teh teh teh
Mkuu Skype, wakati Mheshimiwa Mwenyekiti Mteule wa Bunge Maalum la Katiba, Sammuel Sitta akitoa salamu za shukrani, nasi tuwashukuru wale wote walioshiriki nasi kwenye mjadala huu. Pongezi za pekee ziende kwa Mods wa Jukwaa hili na wamiliki wa JF kwa ujumla kwa kutuwezesha Watanzania kushiriki kwenye mjadala huu. Tuungane kesho kwa ajili ya uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti ambapo nabashiri kuwa atakuwa Mheshimiwa Samiha Sululu kutoka Zanzibar
 
Hongera zake. Ni mtu makini na wa haki. Mungu amtangulie katika kazi hii nzito na ya kiistoria.
 
MATOKEO YA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
1. Mhe. Samwel Sitta kura 487
2. Mhe. Hashim Rungwe kura 69 (12.3%)
Hivyo mwenyekiti ni Mhe. Samwel Sitta
 
Wale wa Mlengo wa Serikali 3 kwa huyu Mzee Mteule wa leo tunaweza kuisoma namba.
 
...kwa nafasi ya makamu, sasa ni jinsia ya wanawake kutoka Zanzibar
 
Mwenyekiti mpya.
attachment.php
 

Attachments

  • DSC00500.JPG
    DSC00500.JPG
    1.4 MB · Views: 184
Nipo katikat mwa mjiwa urambo nyumban kwa sitta watu hawana lolote hawajui chochote wapowapo da

mkuu pole sana,wanafanya vijibiashara hapo sokoni.vumbi,hakuna lami,sehemu za chakula ni duni sana.hapo ni town.nenda ndani ndani huko,ni balaa
 
Sitta: ".... Mimi na Andrew Chenge ni marafiki wa siku nyingi na ndiye niliyemteua kuwa mwanasheria mkuu...." HIVI KUMBE NCHI HII KAMA HUJULIKANI NDO BASI TENA

Sita aache mipasho hapo .................. labda aseme yeye ndiye aliyempendekeza. Mwanasheria mkuu anateuliwa na Rais.
 
Kuna waheshmiwa wanatakiwa kukutana dodoma hotel
lowasa
wasira
ngereja
membe
makamba
magufuli
na sitta
 
Back
Top Bottom