Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
- Thread starter
- #21
Lakini hata wao kukata matangazo sehemu muhimu kama ile ni nidhamu ya uoga.Hope hata azam kuanzia kesho watadhibitiwa rasmiAzam nao wamekata.... japo kuonesha bunge live kwa azam itawaongezea wateja mara dufu. Hii ni fursa ya kibiashara