Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

Chemba linahangaika hapa, mara tamuchungu mara zomba kuweni huru filikun. . na wenzake washasoma alama mapemaa
 
Nashauri wana CDM wailinde Hoteli atakayolala Mh. John John Mnyika (Kiboko ya CCM)
 
Wote Tunaendelea kufuatilia kinachojiri dhidi ya Mbunge wetu
There are currently 349 users browsing this thread. (73 members and 276 guests)
 
Chemba linahangaika hapa, mara tamuchungu mara zomba kuweni huru filikun. . na wenzake washasoma alama mapemaa
 
Nadhani Chadema wanabidi wasiwe wanafanya tena chochote kwa kuamini Jeshi letu la Polisi. Wanabidi waajiri waandishi wa habari waiobobea kwenye fani ya upelelezi pia. Vitumike vifaa madhubuti vya kunasa sauti na picha na kuvisafirisha mara tu vinaponasa. Nahisi mpango wa kumwaga fisi na simba wengi huko mabwepande! Ili wasaidie kazi. Mambo haya yanajiweka wazi kila kukicha!
Mungu ibariki Tanzania na wale wote wenye nia nzuri na Taifa letu!
 
Mrejesho wa Mwisho/Update: Nimemaliza kutoa maelezo ya kurasa 12 pamoja na mambo mengine nimesema wazi kuwa kabla ya mkutano nilipewa taarifa kuwa kuna kikundi cha vijana wa CCM kimepangwa kuvuruga mkutano, hata baada ya kuwaambia Polisi wahakikishe ulinzi, Polisi waliwaachia vijana hao warushe mawe wakati Bwana Waitara akihutubia.
Taarifa za mauaji tulizipata usiku baada ya kurejea Singida Mjini na zilitolewa na RPC.

Hivyo sifahamu uhusiano wowote uliopo kati ya mauaji na mkutano wa CHADEMA uliomalizika kwa amani. Na nimewaambia sikutoa lugha yoyote ya matusi wala uchochezi bali nilieneza sera na wananchi wakataka turudi tena na tukawaahidi kuwa tulikwenda kwenye maandalizi ya Operesheni Sangara ya Singida nzima!

Nimewaambia, tuna ushahidi wa video na tutautoa mahakamani.

John John MNYIKA,
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA),
18 Julai, 2012

Chanzo: Facebook update post ya John John MNYIKA.
 
Hapo ushahidi wa video ndo kitu cha mhimu ili polisi waonekane jinsi walivyosimama tu wakati watu wanarusha mawe.
 
[h=6]Mrejesho wa Mwisho/Update: Nimemaliza kutoa maelezo ya kurasa 12 pamoja na mambo mengine nimesema wazi kuwa kabla ya mkutano nilipewa taarifa kuwa kuna kikundi cha vijana wa CCM kimepangwa kuvuruga mkutano, hata baada ya kuwaambia Polisi wahakikishe ulinzi, Polisi waliwaachia vijana hao warushe mawe wakati Bwana Waitara akihutubia.

Taarifa za mauaji tulizipata usiku baada ya kurejea Singida Mjini na zilitolewa na RPC.

Hivyo sifahamu uhusiano wowote uliopo kati ya mauaji na mkutano wa CHADEMA uliomalizika kwa amani. Na nimewaambia sikutoa lugha yoyote ya matusi wala uchochezi bali nilieneza sera na wananchi wakataka turudi tena na tukawaahidi kuwa tulikwenda kwenye maandalizi ya Operesheni Sangara ya Singida nzima!

Nimewaambia, tuna ushahidi wa video na tutautoa mahakamani.

John John MNYIKA,
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA),
18 Julai, 2012
[/h]

tungeyapata agalau maswali machache walivyokuwa wanamuuliza ingekuwa poa sana, nia ni kubaini unazi wa ki-ccm wa hao maofisa wa polish!
 
kwa hali ilivyo sasa CDM na wote wenye mapenzi mema na chama hiki lazima tuwe makini mno kwa kila hatua uzembe kidogo tu utakuwa na gharama kubwa mno.
 
Hata mie nadhani hivo,,wanataka pia kung'amua habari zilizotapakaa kwamba polisi walifumbia macho vitendo hivyo ili labda wawajibishane,maana ni mwendelezo wa lawama,matope kwa polisi yenyewe siku hadi siku

ukibaraka ndo unaokusumbua
 
hili jeshi la polisi naona lipewe usajili tu na bwana tendwa tukajua moja kwa sababu utekelezaji wa majukumu ya hili jeshi unategemea sana upepo wa kisiasa
 
Aibu itaendelea kumuandama chemba gulu na majitu yote policcm na magamba. Hawaoni kova anavyoteseka na uongo wake? Mh pinda kakonda,sababu uongo. Hakuna dola itatawala milele
 
Mnyika kurasa 12 si hoja, hoja ni content tu. Anyway u r too young, strong so tunakutegemea. Ubungo tunataka maji, angalia wasije wakakuhujumu.
 
Back
Top Bottom