YANAYOENDELEA bungeni sasa kupitisha bajeti bila kolamu ni aibu nyingine

nashukuru mbunge wangu(lema) sio sehemu ya utumbo huu unaoendelea bungeni.ccm imeamua kumwaga mboga kabla haijafutika rasmi 2015

Nina uhakika angesha piga mtu kwa matusi yanayoendelea bungeni...sipati picha lema ange ambiwa unawasha nini? na wenyekiti wa siku hiyo..hahahaha
 
ALIPOSIMAMA NDUGAI KUTOA TAFAKURI YAKE ILIYOMWONGOZA "KUJIRIDHISHA" Kwenye kasikirini kangu pametokea maandishi "BAD OR NO SIGNAL" Makene update tafadhali

Sio kwako pekee mkuu, ni sehemu nyingi TBC1 imekata nadhani wameambiwa wazime ili wananchi tushindwe kushuhudia udhaifu unaoendelea huko! Another silly session!!
 
Last edited by a moderator:
ALIPOSIMAMA NDUGAI KUTOA TAFAKURI YAKE ILIYOMWONGOZA "KUJIRIDHISHA" Kwenye kasikirini kangu pametokea maandishi "BAD OR NO SIGNAL" Makene update tafadhali

Pacha wao, TBCCCM, walifanya mambo. Ilikuwa hivyo hivyo kwenye ka-screen kangu hapa. Pole kamanda. Lakini si uliendelea kupata sauti au...
 
Kwa nini na hao waliokuwa wanaomba miongozo wasitoke mjengoni ili hiyo kolamu ionekane empty?Kwa nini wawe sehemu ya kuvunja kanuni walizojitungia wao wanyewe ?watoke basi,Haaaa.....Au ndio tangu walivyotoka jana hawarudi tena? NA MAGAMBA JE? NAO LEO WAMEMGOMEA BI KIROBOTO?
UWIIIIII............ 2015 MBONA MBALI HIVI SHA CHOKA KUENDESHWA KIBUBUSA HIVI
ni kweli ni bora nao watoke wasije kuwa sehemu ya uzo wa chama cha mabwepande.
 
Kusema kweli Ndugai ni janga la bunge. Inakuwaje anashindwa kusimamia kanuni za Bunge?. Hata kama ameamurishwa kwamba ni lazima leo makadirio ya wizara ya kilimo yapitishwe si za mbayuwayu angechanganya na za kwake pia!

BTW, hivi hao wabunge wote wameenda wapi leo? Ina maana wote kweli wako ZNZ kwenye maombolezi?

Kweli it is another silly season

wapo mnadani wanakula nyama
 
Ile tafiti iliyompa nafasi ya kwanza Huyu ndugai kwa ubora wa kuliongoza bunge walimpa alama ngapi vile! Manake naona wameanza kuonyesha kukubaliana kuboronga kwa zamu ili iwe kama billboard chat, inawezekana kuongoza kwake kooote kwenye hiyo tafiti alipata alama 21 kwa mia.
Watanzania tunahasara kubwa
 
Hata mimi tbc walitoka hewani wakati ndungai anatasubiria wabunge wa nje warudi. Tbccm ikarudi bunge limeisha kuna matangazo mengine. Je kumejiri nini tushafichwa uozo hapa?
 
Kusema kweli Ndugai ni janga la bunge. Inakuwaje anashindwa kusimamia kanuni za Bunge?. Hata kama ameamurishwa kwamba ni lazima leo makadirio ya wizara ya kilimo yapitishwe si za mbayuwayu angechanganya na za kwake pia!

BTW, hivi hao wabunge wote wameenda wapi leo? Ina maana wote kweli wako ZNZ kwenye maombolezi?

Kweli it is another silly season

Hoja za Tundu Lisu kama njaa vile (ni lazima ule!!!!!!) huwezi kuzikwepa.
 
NAIBU SPIKA ameandika kimemo-msg kiwaendee TBC ili wakate matangazo hii ni aibu ya mwaka asante wapinzani kwa umakini wenu leo mmefanikiwa kuibwaga serikali ya mabwepande
 
station yangu star tv mko wapi jamanileo mmetunyima burudani,tulitaka tuone mzee mzima leo akiaibika kwa kuita watu wasiokuwepo eti pigeni kengele waingie ukumbini aibu!
 
Tbc wamekata halafu wameweka wazungu wapo wanashangaa barafu...hivi hii tv ni ya serikal au ndugai? me siwaelew watazlipa kodi zetu hawa mbwa wa ccm
 
Pacha wao, TBCCCM, walifanya mambo. Ilikuwa hivyo hivyo kwenye ka-screen kangu hapa. Pole kamanda. Lakini si uliendelea kupata sauti au...

samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu wangu, sikupata hata sauti. Nikakumbuka kuna wakati tuliripotiwa humu jf kuwa hawa wahuni wame import kamtambo ka kuingilia matangazo yoyote popote tz, nikajua hako kamtambo kako kwenye majaribio sambamba na kale kaku fake sms.
 
Tunaomba wadau watujuze kilichojiri. Eti ndungai aliandika kimemo tbccm wakate mawasiliano ili titakalotokea liwe mule ndani tu. Aibu sana.
 
Back
Top Bottom