kakojoe kalaleeeee! ondoa uchafu wako wa mdomoni hapa!Hii iko kisiasa zaidi, na JF ipo biased. Chadema kwa Sugu, CCM kwa Ruge.
mwehu wewe, acha watu tuendelee kupata ma updates usituletee upumbavu wako wa kurithishwa hapa. pusi mkubwaaa!
Watu tushalewa, vidole havioni keypads.
Baada ya Mabaga sasa amepanda Juma Nature na Inspekta. Wanawachana Clouds kinoma
manina nasikia kama wamesepa wame enda kwa mama RUGE
Ruge nae kaja kwa sugu nimemwona kavaa kabarakashia watu wasimtambue.
Nae anataka awe sehem ya historia.hawezi gusa hapa huyu! Akishikwa anavuliwa nguo hadharani!
wakuu wakati unaendelea kupata updates za ustawi humu jf, fungueni na redio one, nako kuna makamuzi ya kufa mtu, zile za kitambo na Abubakari Sadiq, yaani hapa nilipo na double click kwa kwenda mbele. Hii redio naifagilia sana, haina mambo ya kishogashoga ya clouds. Jamaa wanakamua miziki ya wasanii wote...........tune radio one plz kwa mlio majumbani
Mkuu hakuna Nature hapa, huyu Mwita25 mzinguaji .....mbwa nadhani!
oyaaaaaaaaaaaaa mechi imeshia madrid debby
hala madrid-the white-los melunges-galacticos