sb shukrani hope your idea is constructive and brilliant. Unajua wachangiaji wengi wanamchukulia huyu mwanamke kama single lady ambaye waweza mkatalia on spot na decision ikamwathiri pekee na ikawa ultimate solution, wkt kuna innocent husband wake asiyejua anachowinda mwenzie just imagine impact size kama ukimweleza mumewe direct.
taarabu ipi hiyo mkuu!
siyo yawezekani ni graduate, lakini kumbuka mawazo uliyo nayo ni kusema kwa mume wake ama mke wake ambalo kama unafikiria vizuri nitasolve tatizo kwangu lakini nitapeleka mgogoro ama hata kusambaratika kwa ndoa ya huyu mama na mumewe! Sasa wewe c uweke solution hapa jamvini ili niitumie na pia tuone hekima yako katika kisa hiki cha aibu kinachonikabili lakini nahitaji kiishe kwa usalama bila kuathiri familia zote 2 mkuu.
Brother kuwa serious bwana,inawezekanaje eti unataka kukimbia nyumba simply bse of small things like that.Unless hiyo nyumba ina shida zingine ambazo hutaki kuziweka wazi hapa.Solution unayo mkononi,kwa kuwa ulishamuambia kuwa hupendi tabia zake na yeye anaendelea na kwa kuwa anajua wewe umeshaoa haina point ya kusema eti unaumaliza mgogoro kwa usalama,kuna migogoro duniani tena ya kimataifa huwa haiishi kwa usalama yaani namaanisha kwa kuzifurahisha pande mbili 100%.Hakuna njia nyingine zaidi ya kutembea nae uharibu kwa mke wako na kwa mume wa huyo mke ama umwambie mume wake kuwa unasumbuliwa na mke wake ili hapo ukosane na huy changuduo then uwe na amani na familia yako (wife) na huyo mume wa jamaa.So kupanga ni kuchagua wewe angalia uharibu kwa mtu mmoja uwe na amani na watu wawili ama uharibu kwa watu wawili then uwe na amani na mtu mmmja.Ni hesabu ndogo tu ya kujumlisha na kutoa ambayo inatakiwa uifanye basi
Ningekua mwanaume mimi hizi bahati hizi!!!!!!!
yoyote yenye vijembe vitakavyomfaa
Hivi majuzi nimehamia nyumba ya kupanga, nimekaa miezi mitatu kuna nyumba ilikuwa wazi baadae Kijana nae kahamia hapo akiwa na mkewe!
Kabla ya wiki mke wa mpangaji mwenzangu kamanuva kapata namba ya simu yangu, ananisumbua ati ananipenda.
Nimemkatalia na kumwambia wewe ni mke wa mtu na mie nina mke wangu sasa nini kinakufanya ushindwe kutulia na mumeo?
Hili hataki kabisa kulisikia sasa amekuwa kero na kweli amenifanya nifikirie kuhama nyumba hii.
Ushauri tafadhali nifanye nini ili akome kunisumbua na pia asipate karaha ya kuniona kama adui na mtu nisie faa maishani mwake?
Unapenda sana eeeh! Cjui kw nn @ lady anasema angekuwa Me basi Ke wangemkoma! Ke ni wasumbufu halafu ukiwa nao wengi muda wote wanasumbua mara txt, mara muonane, mara birth day, mara tumbo, mara kaconceive na blah blah kibao hope ucngeona ni bahati unless ukiwa bado kijana mdogo mdogo lzm ulambe @ anayejipitisha kwako.
Mkuu inaonekana na wewe unashinda nyumbani sana eeenh?
kama kweli wewe ni mtu wa kazi masaa 10 kwa siku, huo muda wa kusumbuliwa wapatikana saa ngapi???