Yamenikuta wanajamvi msaada please

Yamenikuta wanajamvi msaada please

huyo anahitaji kutolewa pepo ana pepo la ngono. Mwambie na wewe unampenda ila unamuomba muende kwa mzee wa upako kwa ajili ya kufanyiwa maombi kwanza.

ukimweleza hivo anavyonisumbua itakuwa balaa tupu mkuu!
 
ukihama halafu huko ulikohamia nako ukatongozwa utahama pia? Hujui hata ku-block namba? Ushaonyesha kutaka-hutaki ndo maana ana imani atakupata tu. Mlie jiwe uone kama ataendelea kukusumbua.
 
hapo cha muhimu ni msimamo wako tu na kama huna nia naye sidhani kama utakosa cha kumwambia na yeye kuacha hiyo tabia.

thanks your highness! Wazo lako ndio langu japo nimemchimba bit kibao ikiwepo kumzuia kupiga simu yangu lakini bado anajaribu bahati akisema anaexpress hisia zake ati!
 
Maamuzi magumu ndo suluhisho la hilo jambo ukiendelea kumlea mwisho wa siku atakuja mwambia mmewe kua wamtongoza na kakukataa ndo maana umeamua kumsema na hatujui kamshije jamaa yake sasa ndugu yangu vunja ukimya chukua chombo kasuuze bunduki lako fanya show moja bab kubwa ikibidi hata tigo twanga tu heshima irudi bwana
 
ukihama halafu huko ulikohamia nako ukatongozwa utahama pia? Hujui hata ku-block namba? Ushaonyesha kutaka-hutaki ndo maana ana imani atakupata tu. Mlie jiwe uone kama ataendelea kukusumbua.

big up mkuu! Napractice sana hii ya ukimya japo sometimes anatumia namba nisiyoifahamu nikipokea nakutana nae hewani but nawahakikishia nitashinda pasipo kuathiri ndoa yake.
 
upuuzi huu nao wewe ulimpa namba kwa malengo ya kupata papuchi sasa iweje unalalamika?

kachukua namba kwa effort zake kupitia madogo home i swear to god! Believe si hadithi ni ukweli nahangaika ucpime kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu kutoka kwa huyu dada.
 
unaogopa kumfanya adui?? Wewe ni vipi ? Mwambie hapana inayomaanisha, na hakuna kuhama

hiyo ndo mpaka sasa nimeshaweka msimamo tatizo ni kutokuridhika akapotezea coz kila siku muda wote ni kupiga cm na kutext sms ambazo cpokei wala kujibu
 
Hizi naona ni danganya toto za JF, wachache sana wana uwezo wa kukataa offer kama hizo
Sina uhakika kama na we ni mmoja wao??
 
hizi naona ni danganya toto za jf, wachache sana wana uwezo wa kukataa offer kama hizo
sina uhakika kama na we ni mmoja wao??
true mkuu! Cjawahi tunga stori thats why huoni nina post nyingi huku mmu!
 
Kuhama chumba siyo tatizo, utamkimbia hadi lini, mwambie next time utamwambia mume wake
 
Mkuu usiseme hvyo inakera unajua, jamaa kavumilia kashindwa na hataki matatzo na mtu...hata mm nlishawahi tongozwa na mke wa mtu kabsa tena akiwa na pete ya ndoa kidoleni....nlipata shida sana ikafika wakati nikawa namkimbia kabsa na sitaki pishana nae njia moja. Ni mambo mengi alikua akinifanyia, nashukuru Mungu nliyashinda yote. Jamaa amekuja humu JF kuomba msaada wa mawazo. Mtu ukijiheshimu huwez kubaliana na hali kama hyo. ushauri wangu kwake ni ahame hyo nyumba mkataba ukiisha. Huyo mwanamke anaweza akamfanyia jamaa ushenzi ikawa matatzo siku za usoni. Ni bora kujihami mapema.

Unauhakika gani huko atakapo hamia hata pata shida kama hiyo tena
 
kusema ukweli mi ningekuwa nishamla
ananiletea shobo
ila sikushauri hivyo
 
kachukua namba kwa effort zake kupitia madogo home i swear to god! Believe si hadithi ni ukweli nahangaika ucpime kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu kutoka kwa huyu dada.

Kama humtaki iweje uwe na wasiwasi? Mwanaume huwa anamsimamo ila wewe unateteleka ni kama unasubiri penati vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom