NATTA WITO
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 228
- 97
- Thread starter
- #21
jiulize alishapenda wangapi? Take care bro
haijalishi na hiyo namwona kama mwigizaji badala ya kuwekeza pendo kwa mumewe anahangaika na asiemthamini na asiemhusu
jiulize alishapenda wangapi? Take care bro
vzur sana na hata ukkutana nae akskuongelesha mwambie sikupendi weweeee, kama jehannam.
na wao wazoee bana....kwan kuna ajabu gani!Kweli bwana khaaa wanaume wanaitutongoza tungekuwa tunaenda kusema ingekuwaje?
Hivi majuzi nimehamia nyumba ya kupanga, nimekaa miezi mitatu kuna nyumba ilikuwa wazi baadae Kijana nae kahamia hapo akiwa na mkewe!
Kabla ya wiki mke wa mpangaji mwenzangu kamanuva kapata namba ya simu yangu, ananisumbua ati ananipenda.
Nimemkatalia na kumwambia wewe ni mke wa mtu na mie nina mke wangu sasa nini kinakufanya ushindwe kutulia na mumeo?
Hili hataki kabisa kulisikia sasa amekuwa kero na kweli amenifanya nifikirie kuhama nyumba hii.
Ushauri tafadhali nifanye nini ili akome kunisumbua na pia asipate karaha ya kuniona kama adui na mtu nisie faa maishani mwake?
Kweli bwana khaaa wanaume wanaitutongoza tungekuwa tunaenda kusema ingekuwaje?
Hivi majuzi nimehamia nyumba ya kupanga, nimekaa miezi mitatu kuna nyumba ilikuwa wazi baadae Kijana nae kahamia hapo akiwa na mkewe!
Kabla ya wiki mke wa mpangaji mwenzangu kamanuva kapata namba ya simu yangu, ananisumbua ati ananipenda.
Nimemkatalia na kumwambia wewe ni mke wa mtu na mie nina mke wangu sasa nini kinakufanya ushindwe kutulia na mumeo?
Hili hataki kabisa kulisikia sasa amekuwa kero na kweli amenifanya nifikirie kuhama nyumba hii.
Ushauri tafadhali nifanye nini ili akome kunisumbua na pia asipate karaha ya kuniona kama adui na mtu nisie faa maishani mwake?
Mkuu usiseme hvyo inakera unajua, jamaa kavumilia kashindwa na hataki matatzo na mtu...hata mm nlishawahi tongozwa na mke wa mtu kabsa tena akiwa na pete ya ndoa kidoleni....nlipata shida sana ikafika wakati nikawa namkimbia kabsa na sitaki pishana nae njia moja. Ni mambo mengi alikua akinifanyia, nashukuru Mungu nliyashinda yote. Jamaa amekuja humu JF kuomba msaada wa mawazo. Mtu ukijiheshimu huwez kubaliana na hali kama hyo. ushauri wangu kwake ni ahame hyo nyumba mkataba ukiisha. Huyo mwanamke anaweza akamfanyia jamaa ushenzi ikawa matatzo siku za usoni. Ni bora kujihami mapema.
Asante....ushauri mzuri kama avatar yako
Wakati mke wa mtu akikusumbua, huenda hata mumewe anamsumbua mkeo...
Karibu uswazi bro
wakati mke wa mtu akikusumbua, huenda hata mumewe anamsumbua mkeo...
Karibu uswazi bro
yawezekana eti wewe ni graduate aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,ndiyo maana wanawakusanya maelfu uwanja wa taifa.anyway kwa msaada mwambie wife wako namna unavosumbuliwa na mke wa mtu ama mwambie mume wa huyo anaekusumbua
ivi kweli unashindwa kuamua jambo dogo kama hilo ukiwa kama mwanamme?
mkuu usiseme hvyo inakera unajua, jamaa kavumilia kashindwa na hataki matatzo na mtu...hata mm nlishawahi tongozwa na mke wa mtu kabsa tena akiwa na pete ya ndoa kidoleni....nlipata shida sana ikafika wakati nikawa namkimbia kabsa na sitaki pishana nae njia moja. Ni mambo mengi alikua akinifanyia, nashukuru mungu nliyashinda yote. Jamaa amekuja humu jf kuomba msaada wa mawazo. Mtu ukijiheshimu huwez kubaliana na hali kama hyo. Ushauri wangu kwake ni ahame hyo nyumba mkataba ukiisha. Huyo mwanamke anaweza akamfanyia jamaa ushenzi ikawa matatzo siku za usoni. Ni bora kujihami mapema.