Nakushauri mrudishe kwao hakuna namna
Ila nyie mkifumaniwa mkuu msamehewedah
Mpaka hapo si unaona jamaa ki mapenzi hapumui mbele ya huyu mwanamke.Kwahiyo mkeo kafumaniwa....Sawa....Na umekuja kuomba ushauri.Uendelee nae au umpe talaka. Mmmh!!!
Kwakuwa imekuwa dhahiri kuwa alifumaniwa. Basi itoshe kuwa sababu ya wewe kuendelea na maisha yako peke yako.
Muache aende.
Labda alikuwa nyumba ya jirani tu mkuu,,,,, usibishie kipaji cha mtu"Ndani ya lisaa limoja"
Amerudi nyang'anyang'a...
Asante kwa story...
Mungu akuzidishie ubunifu.
Yule kada wa ccm, nimewaza piaMwanamke wako ndio yule ambaye picha zake zilianza kusambaza watsap baada ya kupata kipigo?
Katika experience yako kufumaniwa inachukua masaa mangapi?!"Ndani ya lisaa limoja"
Amerudi nyang'anyang'a...
Asante kwa story...
Mungu akuzidishie ubunifu.
Hiyo miezi 3 ya kusubiri kisu chake alaze kwenye ala gani?!Hongera kwanza kwa kumpeleka hospitali, umeonyesha uungwana sana, huwezi kujua ameanza lini hiyo tabia, kapime afya yako, kwanza na ucheck tena baada ya miezi mitatu. Huyu mama agana nae kwa Amani, there are plenty fish in the sea.
Ni ngumu kujudge moja kwa moja Mkuu, mambo ya ndoa si ya kukurupuka kumshauri mtu aachane na mwenzi wake.Yeye ndio atafute suluhu kwa mwanamke aliyetoka nje ya ndoa?
Lazma wewe utakuwa mwanaume wa dar,
Ingekuwa mwanaume wa mkoani ungekuta anatuletea thread yenye head
News Alerts:
Nimemvunja mke wangu kiuno na sasa hivi nimeshikiliwa na polisi
Jina lako mkuu unaitwa John? Nimemkumbuka Faru John
Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili,
Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga akaniambia anaenda hospital kumuona rafiki yake amelazwa nikamruhusu nikamwambia aende lakini awahi kurudi.
baada ya kupita lisaa moja alirudishwa akiwa hoi na watu wakimzomea nilipotaka kujua amepatwa na nini.!!!nikaambiwa kafumaniwa na mume wa mtu !!!na waliomchakaza hivyo ni wanawake wenzake.
niliishiwa nguvu nikaamua nimpeleke hospital kusema ukweli nimekaa nimeshindwa kupata ufumbuzi naombeni ushauli wenu huyu mwanamke niendelee kuishi nae au nimpe talaka?