Yamenikuta; Sijui nifanye nini?

Yamenikuta; Sijui nifanye nini?

kiroho msamehe na umuombee ili aweze kuachana na iyo roho ya uzinzi nje ya ndoa, lakini kimwili unaweza ukamuacha maana kakudharau na kukudhalilisha piah.
 
Kwanza hakukuwa na sababu ya kujitaja wewe ni nani wakati unatumia jina bandia.

Pili, tafuta mtu yeyote aliyetokea Mara umwulize nini cha kufanya. Uliza hata mwanamke tu.

Akikupa jibu tofauti na ambalo ningekupa basi atakuwa si wa huko Mara.


Tatu, mpaka mke kukuonyesha hivyo wewe ni bogus kabisaaaaa.

Nne, huwezi fanya lolote ILA UNAJISHEBEDUA SHEBEDUA TU
 
Mkuu kwanza una moyo wa ushujaa sana kumpeleka hospital pia inaonesha ni jinsi gani mkeo una mpenda lakin napenda kusema huyo mke hakufai tena,amekutia aibu ya Funga mwaka,pia ukisha achana nae Fanya mchakato hama hayo mazingira hata kama umejenga Fanya utaratibu tu,
 
Halafu ukichunguza utakuta mwanaume alimuahidi kumpatia 20 tu.
 
Huyo sio mama mkuu ni mwanamke tu na amekukuta na meno 32 iweje akutese ebu piga chini tena ww unahuruma yani na hospital unampeleka??
 
Je ulimpatia mapenz yakutosha au ulimpotezea ??? Jichunguze kwanza ww coz mwanamke mpaka achepuke lazma mume anazingua....
 
Pole sana. Hizo ndo zinaitwa ajali kazini, tafuta suluhu kupitia kwa wanandugu wenu wa pande zote na akubali kuwa amekosa.

Yeye ndio atafute suluhu kwa mwanamke aliyetoka nje ya ndoa?
 
Hongera kwanza kwa kumpeleka hospitali, umeonyesha uungwana sana, huwezi kujua ameanza lini hiyo tabia, kapime afya yako, kwanza na ucheck tena baada ya miezi mitatu. Huyu mama agana nae kwa Amani, there are plenty fish in the sea.
 
Binafsi naamini kama mtu kacheat kwa mara ya kwanza,zipo possibility kuwa alishacheat hapo kabla ila hukujua ama atacheat siku za mbele

Muasili haachi asili

Fuata moyo na busara zako
Na probability ya yeye kurudia ni kubwa sana
 
Siku ya Christmas na new year kwa anaechepuka ni ujinga. Kuna siku nyingi sana za kufanya hayo mambo lakini siyo siku ya sikukuu kama hizo
Wewe ni "plofeshno" Hahahaha. Hizi statement zinatolewa na wabobezi tu!!!
 
Ndio ile picha inayosambaa kwenye mitandao Mwanamke kapewa kipindi cha maana???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom