Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Ndani ya lisaa limoja anarudishwa nyang'anyang'a huoni hiyo dharui iliyopitilizaKatia fora maana kafumwa na kupigwa au kwakuwa kachepuka?
Duuuh huo mchanganyiko balaa!!
Ndani ya lisaa limoja anarudishwa nyang'anyang'a huoni hiyo dharui iliyopitilizaKatia fora maana kafumwa na kupigwa au kwakuwa kachepuka?
Duuuh huo mchanganyiko balaa!!
saana siku hizi ngono imerahisishwa kwa njia hiiAmen amen nawaambieni kuwa tatizo ni hizi whatsapp,facebook,JF!......watu wetu wanaliwa kimyakimya bila ya sisi kujua!!
![]()
Afu unaweza kuta mkeo wanachapa mbayambaya sema hujuiMkuu hili halihitaji ushauri unatakiwa kuchukua hatua. Ningekuwa ni mimi ningekuwa mahabusu.
Sheria inatambua asira piaUnamvunja unafungwa acha lugha za ujima. You are guided by law
Kumbe kipigo tosha kijatakiwa kichukue masaa mangapi?Ndani ya lisaa limoja anarudishwa nyang'anyang'a huoni hiyo dharui iliyopitiliza
Ningekuwa ndio mie mwanamke ningeomba talakaKumbe kipigo tosha kijatakiwa kichukue masaa mangapi?
Eti eeh!Ningekuwa ndio mie mwanamke ningeomba talaka
siwezi kusema mumewe ndio sababu au la kwa sababu mleta mada hajaongelea chochote kuhusu migogoro ya ndoa yake, kwa hiyo yawezekana kunasababu rukuki na hiyo ikiwa ni mojawapo lakini.Ni vipi sababu ya kuchepuka kwake ni mume wake???
Hahahahahahahaaaaa...Quickie
Ha ha ha haaaa..kuwa nyang'anyang'a ni kitendo cha sekunde 120, kwenda gest au eneo la tukio ni sekunde 600, zengwe la fumanizi ni sekunde 1200, sekunde nyingne ni kurudishwa hoi na show kama ilifanyka!
Tuna nn .....wakristo hatuna talaka!
Wapi huko, Songea?Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili,
Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga akaniambia anaenda hospital kumuona rafiki yake amelazwa nikamruhusu nikamwambia aende lakini awahi kurudi.
baada ya kupita lisaa moja alirudishwa akiwa hoi na watu wakimzomea nilipotaka kujua amepatwa na nini.!!!nikaambiwa kafumaniwa na mume wa mtu !!!na waliomchakaza hivyo ni wanawake wenzake.
niliishiwa nguvu nikaamua nimpeleke hospital kusema ukweli nimekaa nimeshindwa kupata ufumbuzi naombeni ushauli wenu huyu mwanamke niendelee kuishi nae au nimpe talaka?
Achapwe nisijuwe tu.lakini mi siyo fala eti nijuwe analiwa halafu niendelee kumchekea. Hayo mnayaweza nyieAfu unaweza kuta mkeo wanachapa mbayambaya sema hujui