Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi
Pole sana mwamba..
1. Jikubali na amini kuwa kuna maisha baada ya kufanyiwa uchafu huo.
2. Kwa sababu hukumkuta bikira mwamby maneno haya "nimekusamehe, lakini jitafakari kama wewe ni mke wangu au tuna share na mpenzi wako wa zamani", hapo atabaini makosa yake na ataomba msamaha lakn muweke kwenye specific period ya probation.
3. Wakati huo kuwa busy na kazi yako (hamishia upendo wote kwa watoto kama mnao)
4. Mdharau na achana naye, songa mbele (kama hatabadilika)

5~hadi mwisho (TAFUTA PESA, TAFUTA PESA..)
hapa ukiwa na hela utapata kila kitu isipokuwa UFALME WA MUNGU. hvo utalazimika kumtafuta MUNGU
means "DUNIA NI FULL OF PRESSURE"
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Bila shaka uchunguzi wa simu ya mkeo ulitokea baada ya kupata revelation nafsini mwako kwamba si mwaminifu.Matokeo yake uko restless.
Ushauri kwa wanaume ukitaka kuishi bila pressure usimchuguze mkeo iwapo ana mahusiano na wanaume wengine kwa sababu mmeungana kimwili lakini sio kiroho.Huwezi jua mambo yaliomo moyoni mwake.Na wengi tunadanganywa ni sawa na aliyemwona nyoka ndani ya nyumba anakuwa restless mpaka amuue.lakini usipoona anaweza kuwa chini ya kitanda na ukalala fofofo hadi asubuhi.Sisemi usimchukulie hatua mkeo ukimfuma live
 
Ushauri wako wakipumbavu maana unaangalia angle moja tu akipata maradhi kwa ujinga wa mtu mmoja hilo ujaliona kabsa
 
Kabla ya kumsamehe kumbuka hili
1748358920535.jpg
 
Msamehe lakini achana nae kabisa, yaani KABISA. Kwasababu hiyo tabia hawezi kuacha.
 
Kama vip temana nae! Ila kama bado unamhitaji jaribu kuchunguza chanzo cha yeye kufanya hivyo maana kutokana na ushahidi wako, naona kama jamaa anamlazimisha na anatoa amri so inaweza kuwa jamaa anatumia kitu fulani hivi ambacho mkeo aliwahi kukifanya kabla au baada ya kuolewa na wewe so jamaa anamblackmail!! Hata unacheki mkeo ni kama hapendi kukutana nae kwa kutoa kisingizio! Ila ni maoni yangu tu!
 
Mpaka hapo bado unamuita mkee.
Huyo ni wakupiga kipigo cha mbwa koko halafu unafukuza
Hapana asipige anaweza kuishia jela.
Huyo wa kuacha au kuvumilia alee watoto kwa muda huku akisubiri wakue...
 
Kinachofanya tusifanye maamuzi magumu sana ni:-

1.Watoto tuliozaa nao Hawa viumbe!

2.hustle za kutafuta Mali ulizopitia Hadi ulipofika!

3.Ndoa harusi jinsi ilivyofana,ndugu watanionaje plus dini hasa Imani za kikristo aiseh ndoa inakua kifungo Cha maisha kwenye situation kama hiyo!

Nini ufanye sasa!!?

Tafuta room mtaani ikiwa self ni Bora zaidi!Anza kulala huko Hadi asubuhi ,akikuletea makelele,mwambie "nataka uwe huru na X wako mnaekutana nae kila siku hadi anakuchosha"

Usiwe wa kwanza kutamka kuachana,wewe sepa kiaina,uwe unaacha matumizi tu kwajili ya familia!!usiombe game tena!halafu tafuta mwingine na usiwe nae serious sana!!
 
Back
Top Bottom