Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

Mkuu ulioa akiwa 20s au 30s? Hawa 30s magume gume kwa kimombo wanaitwa "Ran through" anyway pole,chukua hatua
 
Pole sana mwamba..
1. Jikubali na amini kuwa kuna maisha baada ya kufanyiwa uchafu huo.
2. Kwa sababu hukumkuta bikira mwamby maneno haya "nimekusamehe, lakini jitafakari kama wewe ni mke wangu au tuna share na mpenzi wako wa zamani", hapo atabaini makosa yake na ataomba msamaha lakn muweke kwenye specific period ya probation.
3. Wakati huo kuwa busy na kazi yako (hamishia upendo wote kwa watoto kama mnao)
4. Mdharau na achana naye, songa mbele (kama hatabadilika)

5~hadi mwisho (TAFUTA PESA, TAFUTA PESA..)
hapa ukiwa na hela utapata kila kitu isipokuwa UFALME WA MUNGU. hvo utalazimika kumtafuta MUNGU
means "DUNIA NI FULL OF PRESSURE"
Ujumbe muhimu sana huu nimeupokea kwa uzito
 
Siwezi kukucheka mdau.. i can feel what you are passing through 😵‍💫😵‍💫😵‍💫
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Msg za kutunga hamtutowi kwenye mstari
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Mnaopekuaga simu za wake zenu huwa mnatafuta nini huko? Sasa ukiona hivyo unahangaika na nini? Si uende uchukue mdogo wake!
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
huyu jamaa atakula anakula mpk ndogo
 
Back
Top Bottom