Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

🤣🤣🤣 hukua na mke, ulikua upo single bado. Ex ana mwambia anaijua akili yake 🤣eti Oyo nafikiri unaijua vizuri akili yangu. 🤬Khaaa kwa mke wa mtu.?
jAmaa anaki bass kwa mke wa mtu,afu huenda bwana ake huwa anamnyima
 
Nenda mahakama ya Mwanzo fungua kesi ya fumanizi
Andaa fumanizi
Muandae mwenyekiti na mjumbe waje washuhudie kama huyo jamaa tia ndani kesi mahakamani dai fidia ya ten M
Usiwe fala
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Mwanamke ukishamvua chupi tu huyo ni wako milele
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244

Piga chini, hawabadiliki bro, achana naye bila kuangalia gharama, akakae naye Mbwa kabisa
 
Usikute huyo Ex anamla ndogo huyo malaya wako na wewe umekaa kama zoba hujui chochote
 
Janaa anamblack mail..kuna mdau hapo juu kachangia vzur sana...yawezana kuna watot si wake na wala si wa huyo eksi
 
Back
Top Bottom