Yamenikuta mwenzenu.....

Yamenikuta mwenzenu.....

hebu tulia kwanza hesabu 1 mpaka 100,,,
halafu tuambie yaliyokusibu,,NB Kukimbia tatizo sio suluhisho.....
 
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.
Shida nini
 
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.
huruma ya nn ? eleza tuelewe acha kulia lia au tuchomoe betri ??
 
Bidada kasimamishwa kazi halmashauri..
Tatizo nawe ulizidi mno nyodoo..
Wakati ofisini kuna wenyewee
Pole na safar njema.
 
Miongoni mwa manesi kule bariadi waliokamatwa kwa upotevu wa mashine ya ultrasound
Hapana huyu sio nesi.
Kadakwa na mume wa mtu, kamwagiwa ugali wake kazini,na bado anatafutwa zaidi ili ashikishwe adabu.
Hivyo njia ya pekee ni kuwa "mkimbizi"
 
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.
We sema ukweli umefukuzwa kazi na waziri Wiliam Lukuvi, we ni miongoni mwa wafanyakazi 183 wa wizara ya ardhi mliofukuzwa kazi na Lukuvi, yaani nimekujua vizuri tu na kituo chako cha kazi
 
Hii si Kik
It's true yamenikuta
Anyway ngoja ninyamaze ila Mungu wangu atanipigania,naamin na hili litapita
Ingawa dah basi tu ...
Si ungenyamaza tuu usiandike thread...sasa ona unavyotufanyia....tunaoumia ni Sisi wapenzi wasomaji
 
Back
Top Bottom