We niombee tuUsingeanzisha uzi sasa maana kila member atahitaji kujua una tatizo gani?
Sina neno boss wangu.Nambie boss wangu
SawaWe niombee tu
Nikitulia nitaleta mkasa wote humu
Kwasasa nimechanganyikiwa nawaza kusepa tu
Kweli kabisa uombe dua Mungu akulaze mahali pema.Dua yoyote lazima utamke una tatizo gani?
Mume wa mtu bongo
Sina time nao hao
Niombee tu na hili lipite salama
Siwezi ingawa natamaniSina neno boss wangu.
Nasubiri useme kilichokusibu tu.
Litapita na utalisahau... chuma hakiwi chuma hadi kipite kwa moto.Siwezi ingawa natamani
Lol ila naamini litapita hili
Kweli maisha ni kama karata mweh
Nisaidie namba yake mamyPole nenda sauzi kwa Zari
Imebidi nipitie nyuzi zake 😃😃😃Kukikucha nitapata cha kushauri![]()
Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?
Habari za asubuhi wana jf Jana sikulala nimekesha naongea na sister yangu yuko kwa Obama kwa nafasi yake kama dada kanishauri ila sijaridhia ushauri wake ingawa hajui pia. Ni hivi nina wanaume wa3, naowadate.najua ntapigwa mawe humu mweehhh hadi nijuteee but ukweli daima utabaki kuwa ukweli...www.jamiiforums.com
Tukufariji kwa lipi au tukuonee huruma kwa niniHabari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.
Imebidi nipitie nyuzi zake![]()
Noma kweliImebidi nipitie nyuzi zake 😃😃😃
Hata hii Kiki unazingua.Huko utapotea mkuu
Nyingi zilikuwa Kik na matani tu, nothing serious
But this is really trust me