Yamenikuta mwenzenu.....

Yamenikuta mwenzenu.....

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
1,952
Reaction score
2,527
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.
 
Natamani kukuonea huruma ila sijui nikuonee kwa lipi maana hujaeleza kua specific kama Article "The"
Siwezi kuwa specific ndugu,hali bado Tete
Ila maisha haya,siasa zinatuangamiza watanzania,mtego wa panya unadaka hata asiyehusika
Nipe pole tu ndugu yangu.
 
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.

Yamekukuta yapi? Umeachwa na mpenzi uliyemuiba kwa shost na kufukuzwa kazi, umefumaniwa ukiwa na mchepuko umepewa talaka?

Kama yaliyokukuta umejitakia nenda zako Sauzi au Botswana, huna jinsi.
 
Ulikua unaruka na mume wa mtu nn? tukuombee tusichokijua..
 
Yamekukuta yapi? Umeachwa na mpenzi uliyemuiba kwa shost na kufukuzwa kazi, umefumaniwa ukiwa na mchepuko umepewa talaka?

Kama yaliyokukuta umejitakia nenda zako Sauzi au Botswana, huna jinsi.
Sijajitakia ndugu,yamenipata tu
Kifo cha wengi,machozi huenda kwa wengi
Naumia basi tu Sina jinsi
 
Back
Top Bottom