mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,886
mambo ya nyumba za kupanga hayo tena hasa wapangaji wengi mkikutana wanawake loh utajuta, mwingine ugomvi ndo tabia yake na atakutafuta kila awezavyo mpaka lengo lake litimie, cha msingi we kuwa kimya tu usimjibu wala kumuuliza chochote na salam endelea kumpa kama kawaida mwisho ataacha