SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Wanawake wa kiswahili bwana! na bado kuvaliana khanga na nyimbo za taarabu that is the totally family stress
Hapana nina account moja.
Nimeshampuuzia sana sasa anaona nimenyamaza kaanza chokochoko.
Teh teh hapo kwenye red ndilo lilikuwa wazo lako, huko kwingine ulikuwa unazunguka tu.
mambo mrembo!!!Hahahaaaah, labda heshima itarudi akimchukua kweli.
mambo mrembo!!!
mambo mrembo!!!
wakati mwingine usimpomfatilia mtu inamuuma, jaribu kumpuuza
yes?... i am back for you!Mhhhhh!!!!!!!