Yamenikuta, msaada tafadhali

Thanks mkuu

Maelezo yako yana msingi mkuu maana hata kunikubalia ilikuwa kwa shingo upande sasa nashangaa alivyobadilika ghafla.

She kind thinking about her pain full past moment.

may be!
 
Bado ana tafta mwenye dushelele nchi 12 we la kwako nchi 3 kaona unamzingua.
 
sidhani mkuu maana yeye mwenyewe aliomba pause!!

kuomba pause hakumaanishi kuwa ndiyo ishara ya kukunwa vizuri.........

inaweza ikawa kwasababu ya kuumia , kuboreka n.k........waulize wanawake wenyewe watakufafanulia.
 
Mjibu Good night....
 
Last edited by a moderator:

Kubali matokeo kaka, ushatoswa potezea na machungu yako!! ukijifanya kupe yatakayokupata tutakukuta ahera
 
Ukweli ni kwamba huyo binti ana stress na kuna uwezekano mkubwa huyo mshkaj wake anataka warudiane na mzan umezidi kwake
 
mwambie huwa unaheshimu sana maamuzi ya mtu ndo maana ukanyamaza na maumivu yako... ila nahisi kamaunatuchezea vile..
 
Last edited by a moderator:
Hata hao unaowaomba ushauri usifikiri ndio wataalamu wa mapenzi. Kila mtu anasumbuliwa na mpenziwe nikiwemo mimi. Mapenzi hayana fundi ujue.
 
kuomba pause hakumaanishi kuwa ndiyo ishara ya kukunwa vizuri.........

inaweza ikawa kwasababu ya kuumia , kuboreka n.k........waulize wanawake wenyewe watakufafanulia.

Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Hata hao unaowaomba ushauri usifikiri ndio wataalamu wa mapenzi. Kila mtu anasumbuliwa na mpenziwe nikiwemo mimi. Mapenzi hayana fundi ujue.

Ni kweli mkuu ila kufarijiana napo si mbaya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…